I am just curious. I just want to know. Mchuano kati ya 'Tyson' Wasira na Esther Bulaya ukoje hapo Bunda? Hawa wawili walikuwa wanapigana vijembe sana bungeni. Upepo ukoje hapo Bunda? na hasa baada ya esther bulaya kushindwa kwenye kura za maoni za CHADEMA lakini akarejeshwa na aliyeshinda akakatwa.
Dvs 5 mlungo (hasindi) ndio nini?go back to school.ester hasindi bunda, chadema imesambaratika sana kwa ujio wake, wanaona bora wakose wote, kwahiyo njia ya wassira kurejea mjengoni ni nyeupe!!!
Dvs 5 mlungo (hasindi) ndio nini?go back to school.
swissme
kumwacha bulaya na kumchagua mtu aliyeshindwa kwa karibu miaka 60 itakuwa kituko ! wasira apumzike tu .Bulaya Yuko na Mungu wakati Wasira yuko na hela tutaona
Mkuu Bobuk, umenisemea!, Ester anachotakiwa kufanya ni kuliishi tuu jina lake la Ester, kama yule Ester wa kwenye Bible!.Ni Vita kati ya Goliath na David!
Kama ulishawahi kusoma bible unajua katika vita hiyo kati ya Goliath na David nani alishinda!