Hiyo inakuwa kwenye makutano tu inasaidia kuondoa keroo ya kusubiri taa zikuruhusu na mala nyingi fly over huchukua nafasi kubwa ili iweze kurahisisha magari kupita upande wowote lakini hapo Tazara haiwezekani ni padogo saaana magari yanayo toka mjini kuelekea Buguruni yatahitaji mzunguko mkubwa hichoo ndoo kikwazo na hivo hivo upande wa magari yanayotoka airport kuelekea bandariKwani fly over ni ya safari kabisa au inakua kwenye makutano tu?
hahahaha fungua link pale chiniHii picha ni ya Tanganyika au zenj?
Daraja la Kigamboni la kuombea kura, nafikiri hata hio fly over itajengwa mwaka 2019Sishangai hiyo michoro ikifanyiwe kazi 2070 maana hata daraja la kigamboni na Malagarasi yalichorwa kipindi cha Mwalimu.
hahahaha fungua link pale chini
Wakimaliza kujenga hiyo wanajenga hii Morogoro
metro isingewezekana umeme wenyewe wa kuunga unga labda zingejengwa barabara 4 kwenda na kurudi au hata 3 tu kutoka town hadi kibambaMipango ya kuambiwa
Ile DART morogoro road tayari imeshafeli hata haija maliza.
TRL walitoa ushauri ijengwe metro sehemu ile lakini wakasikiliza WB.
Leo tumejengewa road kama inapita train.gari ikiharibika siku hio hakuna safari.yaami akili zetu sio zile za kuchanganya na zetu bali ni zao tu...huu ni msiba
hii haipo afrikaWakimaliza kujenga hiyo wanajenga hii Morogoro
Kaanza kweli au yupo tayari site.Sababu kuwa site na kuanza kazi ni vitu 2 tofauti sana.Ila tusubiri yaliyomo yamo?
Huwa siamini porojo za serikali ya Tanzania mpaka nione kwa vitendo