Mchoraji maridadi"

Mchoraji maridadi"

Kazi nzuri.

Tafuta graphic pencil 2B , 3B , 6B na 4H. Zitakusaidia kwenye shading. Na punguza haraka ya kumaliza picha.

Zingatia mazoezi zaidi.
Asante kwa ushauri wako....... Ila fahamu pia kuwa hizo ni sample za picha tu, ambazo hazijachukuliwa kwa high quality camera,,,, so please don't judge a book by its cover
But shukran kwa ushauri wako mdau
 
Habari zenu waheshimiwa,
Kwajina naitwa Said, na ni mtaalamu wamichoro, nauwezo mkubwa wa kumchora mtu na akatokea kama jins alivyo......
Bei zang ni:
* 10,000 kwa karatas normal size
* 15000 kwa paper kubwa la A3 size

Tizama baadhi ya kazi zangu kisha ukivutiwa unaweza nipata kupitia
Mobile: 0654266333
Instagram: Alpha_male009
hivi mkuu naomba kuuliza kama mtu hujui kabsa kuchora kwa pencil unaweza ukafundishwa na ukajua???? au kipaji tu mpaka uzaliwe nacho????
 
!
!
Unavyoonekana ni kada. Hizi picha ukizipeleka Lumumba utatisha zaidi. Mchore pia Polepole na Makonda.
 
kuna makosa mengi sana ya uchoraji nayaona apo....kama
vifaa hafifu..upakaji wa vivuli ambao unaambatana na uchafu....nakushauri # uongeze bedii kweny ayo maeneo pia#

tumia rangi inafanya picha ziwe na muonekano mzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom