Mchora katuni Gado awaita viongozi wa dini wanafiki

Mchora katuni Gado awaita viongozi wa dini wanafiki

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,809
Reaction score
140,808
21761398_10213444485923052_6123926996375620453_n.jpg
Gado ni mtanzania mchora katuni wa kimataifa zenye mrengo wa kisiasa na kijamii.

Amekuwa msumari kwa tawala za kiafrika ikiwepo Magufuli
 
Hakuna watu wenye vyanzo vya taarifa kama viongozi wa dini na hasa TEC. Mtoa mada unakumbuka issue ya mabomu Arusha na ulishajiuliza kwanini Mbowe hakutoa ule ushahidi wa video kama alivyodai?

Huyo Gado anaweza kudhani viongozi wa dini ni kama yeye mchora katuni, lakini wanajua nini kiko nyuma ya dereva kupelekwa Nairobi kwa huduma ya 'kisaikolojia'.
 
Kama ndo kanisa langu kwa unafki usiseme, walishawahi kumsema JK wa watu huku wakimwangalia usoni kwenye mazishi ya Askofu Mwanza. Wako kimyaaa hata NYARAKA hazipo tena.
 
Back
Top Bottom