mchizi asubuhi sana

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,540
Reaction score
138,496
Anaanza kupiga vyombo
 

Attachments

  • 20150517_002028.jpg
    728.4 KB · Views: 709
Kwa watu wengine kwao huo ndio ujanja...
 
Hizo ni dalili za taifa la watu waliokata tamaa...na hizo ndio dalili za mwanzo za anguko la taifa lisilojali wananchi wake..
 
Akitoka hapo anakamata bodaboda tayari kwa kubeba abiria,kuna usalama hapo?
 
Nguvukazi ya taifa inapoamka na kiroba cha pombekali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…