Mwizukulu wa Buganda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2024
- 638
- 1,771
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo - Bara, Isihaka Mchinjita emeelezea kuwa Katika Jimbo la Lindi Mjini, Vijana wa CCM walitumika kupiga mawakala wetu, kuchoma moto nyumba zao na wengine walitekwa na kutupwa. Jeshi la polisi lilitumika kulinda uhalifu huu.