Mchinjaji wa IS 'Jihadi John' atambuliwa.

Mchinjaji wa IS 'Jihadi John' atambuliwa.

Hapa ndio ninapo ishangaa dunia ilivyojaa unafiki....leo hii watu wanashangilia midege ya kivita ya nchi za magharibi zikimwaga mabomu kama mvua kwenye makazi ya maeneo yanayokaliwa na hawa jamaa ambapo ndani yake kuna raia wasio na hatia....wengine mpaka vidio zimerushwa youtube kuonyesha hiyo midege inavyofanya mbwembwe angani wakati inatekeleza unyama huo ambao dunia inaona ni halali kufanyika....lakini kwa ikitokea huyo rubani anayemwaga mabomu akaangukia mikononi mwa hao wanaongushiwa mvua ya mabomu...na wao wakaamua kumchoma moto ili nae aone uchungu wa yale aliyokuwa akiyafanya angani..dunia nzima inalipuka kwa majonzi huku video zikirudiwa kutwa nzima kwenye vyombo vyao vya habari....huku dunia ikiaminishwa kuwa ule ni ukatili kuliko ule uliokuwa unafanywa na hayo madege dhidi ya raia wasio na hatia....
HAPO NDIO NINAPO GEUKA NA KUUSHANGAA ULIMWENGU......
Ninachoamini ni kuwa hao wote wanafanya maangamizi dhidi ya binadamu na sioni sababu ya watu kukaa upande mmoja wa maangamizi huku wakishangilia kama kwamba wanaokufa kumbi kumbi na sio binaadamu..huku wakihuzunishwa na vifo vya upande mwingine....dunia kama dunia tunatakiwa kupinga haya mauaji kwa pande zote mbili...kwani hao wote ni wauaji na wanatenda ukatili dhidi ya binadamu....tusihukumu kwa kuangalia matokeo bali tuangalie mzizi wa tatizo ili dunia iwe mahali salama kwa kuishi kwa kila mmoja wetu...AMENI.......

I think u graduated at madrasa.
 
Jamaa avatar yake inaonesha MTU aliyekaa poz LA busara sana na mwenye mawazo mazur kama akiyatoa lkn n tofaut na anachoandika yaan pumba tupu

Mawazo yangu yanaweza kuwa pumba kulingana na wewe kichwa chako kujaa kamasi baada ya ubongo...au pemgine kuna kiungo chingine unachokitumia kufikiria.....ninacho kukwambia ni kwamba visasi na unafiki haviwezi kuleta amani duniani...unaposhabikia mauaji ya upande fulani ina maana kuwa upande mwingine nao utajiandaa kulipa kisasi....na hapo utakuwa ni mwendelezo wa visasi.....
 
The Islamic State executioner known as 'Jihadi John' was today named as a university graduate from London who was able to flee to Syria despite being on an MI5 terror watch list. Mohammed Emwazi, of Queen's Park, west London, was allegedly spoken to three times in one year by police and security services in Tanzania, the Netherlands and Britain. The 26-year-old, who studied computer programming at the University of Westminster, is said to have travelled to the Middle East three years ago and later joined ISIS. Tonight, the daughter of David Haines, one of the killer's beheading victims, has said she would only 'feel closure and relief once there's a bullet between his eyes'. Bethany Haines (right) lost her father when he was brutally executed by Emwazi. The 44-year-old Scottish aid worker (pictured with his executioner) was seized in Syria in 2013, and then murdered on video last September. Pictured left is Emwazi's west London home today.
 
[h=2]We'll only feel closure when there's a bullet between his eyes': Daughter of British hostage beheaded by Jihadi John speaks out as killer is finally unmasked - but how DID he slip through the net?[/h] The Islamic State executioner known as 'Jihadi John' was today named as a university graduate from London who was able to flee to Syria despite being on an MI5 terror watch list. Mohammed Emwazi, of Queen's Park, west London, was allegedly spoken to three times in one year by police and security services in Tanzania, the Netherlands and Britain. The 26-year-old, who studied computer programming at the University of Westminster, is said to have travelled to the Middle East three years ago and later joined ISIS. Tonight, the daughter of David Haines, one of the killer's beheading victims, has said she would only 'feel closure and relief once there's a bullet between his eyes'. Bethany Haines (right) lost her father when he was brutally executed by Emwazi. The 44-year-old Scottish aid worker (pictured with his executioner) was seized in Syria in 2013, and then murdered on video last September. Pictured left is Emwazi's west London home today.
 
Jamaa ana-permit tayari ya kulamba mabikra!! Mabikra hawaishi huko.
 
Vita ni mbaya na inapotokea raia wa kawaida mara nyingi nao wanauawa ! Lakini pamoja na kuwa vita ni mbaya kuna wakati inakuwa ni ya lazima kwa sababu katika dunia hii kuna watu ambao ni wendawazimu na hao wendawazimu mara nyingine wanaweza wakachukua madaraka ya nchi fulani au eneo fulani na huwezi kuwaacha wakaendelea......

Siamini kama wamarekani na hao wanaosaidiana nao wanatarget civilians makusudi.....inawezekana katika kurusha mabomu hayo civilians walio karibu na maeneo hayo wakaathirika na wengine wakafa na hiyo ni hali halisi ambayo ni ngumu kuikwepa.....

Hebu toa solution......tufanyeje ili tulifute hili group la ISIS bila kuwaathiri raia ? Usilaumu tu, toa solution kama unayo !

Hapa ndio ninapo ishangaa dunia ilivyojaa unafiki....leo hii watu wanashangilia midege ya kivita ya nchi za magharibi zikimwaga mabomu kama mvua kwenye makazi ya maeneo yanayokaliwa na hawa jamaa ambapo ndani yake kuna raia wasio na hatia....wengine mpaka vidio zimerushwa youtube kuonyesha hiyo midege inavyofanya mbwembwe angani wakati inatekeleza unyama huo ambao dunia inaona ni halali kufanyika....lakini kwa ikitokea huyo rubani anayemwaga mabomu akaangukia mikononi mwa hao wanaongushiwa mvua ya mabomu...na wao wakaamua kumchoma moto ili nae aone uchungu wa yale aliyokuwa akiyafanya angani..dunia nzima inalipuka kwa majonzi huku video zikirudiwa kutwa nzima kwenye vyombo vyao vya habari....huku dunia ikiaminishwa kuwa ule ni ukatili kuliko ule uliokuwa unafanywa na hayo madege dhidi ya raia wasio na hatia....
HAPO NDIO NINAPO GEUKA NA KUUSHANGAA ULIMWENGU......
Ninachoamini ni kuwa hao wote wanafanya maangamizi dhidi ya binadamu na sioni sababu ya watu kukaa upande mmoja wa maangamizi huku wakishangilia kama kwamba wanaokufa kumbi kumbi na sio binaadamu..huku wakihuzunishwa na vifo vya upande mwingine....dunia kama dunia tunatakiwa kupinga haya mauaji kwa pande zote mbili...kwani hao wote ni wauaji na wanatenda ukatili dhidi ya binadamu....tusihukumu kwa kuangalia matokeo bali tuangalie mzizi wa tatizo ili dunia iwe mahali salama kwa kuishi kwa kila mmoja wetu...AMENI.......
 
Hii dini hii jamani, hivi wafuasi wake wanajisikiaje kuendelea kwenda misikitini kuabudu hayo madude?

Tofautisha Uislam na ugaidi hao wanatumia nembo tu eti islamic state hakuna kitu kama hicho muislam kuchinja tu hii biashara anaijua mmarekani kutuharibia dini ili auze silaha zake na muislam asipojielewa anajiunga tu

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
He was detained on a 'safari trip' in Tanzania.



After graduating from the University of Westminster in 2009, Emwazi traveled to Tanzania on what he claims was a safari vacation. Traveling with two friends, Emwazi landed in the city of Dar es-Salaam but was promptly questioned and detained by police, according to The Washington Post. Following the detention, Emwazi and his two friends were deported, taking a flight back to the U.K. via Amsterdam.



Emwazi claims that upon arriving at Amsterdam’s Schiphol airport, he and his two friends were stopped, separated and interrogated again by authorities. In email correspondence with the British activist group CAGE, Emwazi recounted later that two men ushered him into an interrogation cell. CAGE is an activist organization that aims to "empower communities impacted by the War on Terror," according to its website. The group was founded by a former Guantanamo Bay detainee and has been criticized for sympathizing with jihadists.

In his correspondence with CAGE, Emwazi claimed one of the men, named “Nick,” questioned him about the intentions of his trip to Tanzania and accused him of wanting to go to Somalia.

A former Islamic State hostage has said that Emwazi was infatuated with the Somalian terror group al-Shabaab, reports The Washington Post.
 
Huyu Nadhani kwa Imani yake atakuwa Amepata Kukubalika " Free Pass" ya Kuingia Peponi.

Pepo ipi ya wauaji?!Mungu kasema tusihukumu na kwa nini akatishe maisha ya binadamu wenzake while wote tunapita hapa duniani
 
Huyu jamaa alikuja tz ili aende somalia,bahat nzur intelligencia ikagutuka,inabd kufuta link ya alshabab ilyopo k/koo
 
abdel-bary-not-jihadi-john.jpg

mbona sharobaro!!!
 
attachment.php


Mwanaume ambaye amekuwa akitekeleza mauaji ya mateka wa kundi la wapiganaji wa Islamic State ajulikanaye kwa jina la utani "Jihadi John",ametambuliwa.

Bwana huyo ambaye taswira yake akiwachinja mateka kwa kisu bila huruma ndiyo nembo ya wapiganaji hao sasa ametambuliwa kuwa anatokea Uingereza.

Shirika la Habari la BBC limetambua kuwa jina lake kamili ni Mohammed Emwazi.

Emnuazi ameonekana kwenye video kadhaa ya mauwaji ya mateka wa mataifa wa magharibi, akiwemo Mmarekani James Foley, Raia wa Uingereza, Alan Henning na mwaandishi habari wa Japan, Kenji Goto.

Inaaminika kuwa Emwazi ni raia wa Uingereza na hasa anatokea magharibi mwa London.

Chanzo:
BBC



Huyo Jamaa i believe ni Muislam. Na wengi wanaouawa ni waislamu wenzake.

Nashukuru sikuwa Muislam. Sina nia mbaya kwa niliyoyaandika ila kuna watu wanapotosha dhumuni la Uislam kama IS.

Asante.
 
Back
Top Bottom