kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,757
duh sharobaro kageuka mchinja watu.kweli allah ana nguvu ya ushawishi.

Mtu anaejulikana kama Jihad John aaneonekana kwenye video za ISIS akiwachinja waandish wa habari wa kimarekani na Japani ametambuliwa kua ni Mohammed Emwazi, mzaliwa wa Kuwait,
Bwana Emwazi ana shahada ya computer kutoka chuo kikuu cha westminster. Taarifa zinzsema alikuja Tanzania mwaka 2009 kama kutalii,akashikiliwa na maafisa wa uhamiaji kisha kesho yake akarejeshwa uingereza.
Taarifa zinzsema alijifunza ugaidi baada ya kuja Tanzania
Chanzo: cnn: Report: ISIS militant 'Jihadi John' identified - CNN.com
duh sharobaro kageuka mchinja watu.kweli allah ana nguvu ya ushawishi.
Emwazi started to radicalize after a planned safari in Tanzania following his graduation from the University of Westminster. Emwazi and two other young Muslims went to Dar es Salaam in May 2009 but were refused entry. Upon their return to Europe, Emwazi claimed that the MI5, the British secret service agency, accused him of trying to go to Somalia and join the Al Qaeda affiliate al-Shabaab.
Emwazi denied these allegations and relocated to Kuwait around 2010 to start work at a computer company. He was in the process of planning a wedding when, upon traveling back to London, he was again detained by British police. After his release, he eventually traveled to Syria in 2012 and joined the Islamic State.
Tanzania tupo vizuri sana kwa Intelligence

Huyu atakuwa na hasira labda sababu nae wazee wake wamesahauliwa kwenye historia
Wana uhakika gani kuwa ndo yeye?
Hapa ndio ninapo ishangaa dunia ilivyojaa unafiki....leo hii watu wanashangilia midege ya kivita ya nchi za magharibi zikimwaga mabomu kama mvua kwenye makazi ya maeneo yanayokaliwa na hawa jamaa ambapo ndani yake kuna raia wasio na hatia....wengine mpaka vidio zimerushwa youtube kuonyesha hiyo midege inavyofanya mbwembwe angani wakati inatekeleza unyama huo ambao dunia inaona ni halali kufanyika....lakini kwa ikitokea huyo rubani anayemwaga mabomu akaangukia mikononi mwa hao wanaongushiwa mvua ya mabomu...na wao wakaamua kumchoma moto ili nae aone uchungu wa yale aliyokuwa akiyafanya angani..dunia nzima inalipuka kwa majonzi huku video zikirudiwa kutwa nzima kwenye vyombo vyao vya habari....huku dunia ikiaminishwa kuwa ule ni ukatili kuliko ule uliokuwa unafanywa na hayo madege dhidi ya raia wasio na hatia....
HAPO NDIO NINAPO GEUKA NA KUUSHANGAA ULIMWENGU......
Ninachoamini ni kuwa hao wote wanafanya maangamizi dhidi ya binadamu na sioni sababu ya watu kukaa upande mmoja wa maangamizi huku wakishangilia kama kwamba wanaokufa kumbi kumbi na sio binaadamu..huku wakihuzunishwa na vifo vya upande mwingine....dunia kama dunia tunatakiwa kupinga haya mauaji kwa pande zote mbili...kwani hao wote ni wauaji na wanatenda ukatili dhidi ya binadamu....tusihukumu kwa kuangalia matokeo bali tuangalie mzizi wa tatizo ili dunia iwe mahali salama kwa kuishi kwa kila mmoja wetu...AMENI.......
Allah............ is not the true God but is god like other god