Mchina

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,369
Mchina mmoja alimwita kahaba chumbani kwako ili wafanye mambo,wakati wanafanya mambo kahaba akashangaa mchina kila baada ya kagoli kamoja anashuka kitandani na kuelekea dirishani halafu anaingia uvunguni,akitoka uvunguni wanaendelea na mchezo,kahaba hakugundua siri za mchina kwahiyo gemu ikaendelea mpaka asubuhi huku anajiuliza kuwa mchina ni noma,ile asubuhi anaamka anaangalia uvunguni anawaona wachina kama tisa,kumbe walikuwa wanamfanyia mzunguko.
 
duh!! wamezidi kufanana ndio maana demu hakutambua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…