haya bwana ...!Nipo hapa ofisini gafla nikaona watu wanakimbilia madirishani na mie si nikaungana nao looh jamaa walikuwa wanapiga mambo yetu yale juu ya gorofa lililopo keep left ya askari panaitwa spot lounge near azania bank. Mchina alipomaliza wakavaa haooo wakajiondokea.