Mchina na mzungu wafanya mapenzi live posta

Mchina na mzungu wafanya mapenzi live posta

KIMAROO

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
453
Reaction score
259
Nipo hapa ofisini gafla nikaona watu wanakimbilia madirishani na mie si nikaungana nao looh jamaa walikuwa wanapiga mambo yetu yale juu ya gorofa lililopo keep left ya askari panaitwa spot lounge near azania bank. Mchina alipomaliza wakavaa haooo wakajiondokea.
 
Na jua lote hili?ilikuwa nje au ndani?mzungu alikuwa wa jinsia gani?
 
i guess my job is done here :bolt:

p.s thread nyingine bana!
 
ha ha haaaaaaa raahaaa jipe mwenyeweee; source Neema Mwaipopo Gospal singer
 
Wabongo kwa umbeya siwawezi. Wakati nipo kitongonji cha chwiyepo south china. Hivi vitu kawaida. Hamna kushangaana. Kila mtu na hamsini zake. Sasa bongo watu wanaacha shughuli zao wanashangaa shangaa. Kweli tutapata maendeleo?
 
Ukiendekeza mapenzi lazima yatakupofua macho.
 
Kufanya ngono hadharani ni kosa la jinai hapa Tanzania. Tatizo sasa nani akamkamate mzungu kwa kosa hilo? Hata kama Polisi akimkamata akapewa buku kumi anamwachia unless imetolewa order na mkubwa. Jamani lack of law enforcement katika nchi ni mbaya!! Na wageni wanalijua hilo ndio maana wakafanya kosa and they get away with it mchana kweupeeee!!
 
Kama haya ndio maendeleo, hatuyataki....

Wabongo kwa umbeya siwawezi. Wakati nipo kitongonji cha chwiyepo south china. Hivi vitu kawaida. Hamna kushangaana. Kila mtu na hamsini zake. Sasa bongo watu wanaacha shughuli zao wanashangaa shangaa. Kweli tutapata maendeleo?
 
mchana huu picha zitawajia soon maana wadau wangu wamerekodi mpaka video
 
Vipi leo bungeni hawajadundana?na yule bi nani sijui,anayekaaga pale mbele kabisa ameshapata mchumba?nataka nipite naye kama kipanga,halafu nampiga marufuku kukanyaga ndani ya ule mjengo,natumai mtanipa tafu wakuu.
 
Nipo hapa ofisini gafla nikaona watu wanakimbilia madirishani na mie si nikaungana nao looh jamaa walikuwa wanapiga mambo yetu yale juu ya gorofa lililopo keep left ya askari panaitwa spot lounge near azania bank. Mchina alipomaliza wakavaa haooo wakajiondokea.

Next time usiite "Keep Lt"; sema roundabout.
 
wachina.jpeg kutokana na umbali itabidi mui zoom
 
Wabongo kwa umbeya siwawezi. Wakati nipo kitongonji cha chwiyepo south china. Hivi vitu kawaida. Hamna kushangaana. Kila mtu na hamsini zake. Sasa bongo watu wanaacha shughuli zao wanashangaa shangaa. Kweli tutapata maendeleo?

Kwani maendeleo ni kufanya mapenzi hadharani ndugu?huoni huo ni uhayawani ulopitiliza,sio kila kitu ni cha kuiga toka ughaibuni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom