Mchina na bibi wa kihehe

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
Mchina mmoja alionja joto ya jiwe pale kwa bahati mbaya alipomwaga maharagwe ya bibi wa kihehe huko maeneo ya njombe iringa,
mchina huyo baada ya kumwaga maharagwe hayo akawa anamwambia yule bibi,"SORRY,SORRY BIBI...SORRY" yule bibi akamaka we mchina unaniambia sore wakati wakati we ndo umemwaga maharagwe yangu,mshenzi sana wewe ndio usore!
MCHINA AKAMAKA,AKARUDIA TENA SORRY BIBI,bibi akaingia ndani kuchukua panga.....kilichofatia mimi nilikuwa nishaondoka kuogopa ushaidi
N.B neno sore kwa kihehe linamaanisha "OKOTA"
 
tatizo ulisahau kuanza na hadithi hadithi njooo ndo utamu haujakolea....................ila kazana Mungu atakusaidia kuwa mtunzi mzuri
 
tatizo ulisahau kuanza na hadithi hadithi njooo ndo utamu haujakolea....................ila kazana Mungu atakusaidia kuwa mtunzi mzuri

Punguza tabia ya kupenda kupinga pinga threads za wengine... Hii ni sehemu ya Utani...
Hivo hajakosea kitu.
 
tatizo ulisahau kuanza na hadithi hadithi njooo ndo utamu haujakolea....................ila kazana Mungu atakusaidia kuwa mtunzi mzuri

unajiona unajuaaa saaana eti eeeh?? huna lolote acha tabia yako ya kupinga pinga thread za watu bhaana unakera
 
tatizo ulisahau kuanza na hadithi hadithi njooo ndo utamu haujakolea....................ila kazana Mungu atakusaidia kuwa mtunzi mzuri
Mikatabafeki unajua fika kuwa sehemu hii ni maalumu kwa ajili ya mambo kama haya na haijalishi unatunga nini kizuri au kibaya ili mradi tu mtu acheke kama nilivyocheka mimi maana mimi si mhehe na sikuwa najua mwisho wake na nilipofika nilicheka kitu ambacho ndicho mahsusi hasa katika jukwaa hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom