Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,584
Ntakuwa mchoyo wafadhila bila kuwapongeza tatu bora Mamaa Shija, kakake na Cong Cong.
Pili naomba serikali iamke ielewe sasa atuitaji majengo tu kuwa na idadi ya wanafunzi tunaitaji kuwekeza kweli kwenye elimu.
Kama mmlivyoona kumi bora zote mtaelewa shule za Serikali kwa sasa zipo kuzalisha wapiga kura na za private kuzalisha watawala.
Mpendwa mama Prof Joyce najua tutalalama sana huku ila lengo sio baya n kuona hata wale wa uwezo wakati wakisomesha watoto wao priv wafaulu kama hawa.
Najua unapata ukakasi mkubwa ukweli utabaki tunaitaji ada elekezi mapema watoto wasome kwa furaha na uhakika. Hakuna anayependa kupeleka mtoto wake nowdays hata Kilakala ama Ilboru ama Tabora girls kama ilivyo zamani.
Watu wako radhi wagaramike shule za priv watoto wafaulu, lengo la kusisitiza mrudishe div sio kufelisha n watoto wawe na moyo wakusoma nakujua bila kupagawa na kusoma prof anakula kichwa.
Matumaini ma yetu utaifwatilia hili else kama amwanini hili tumpeleke huyu mchina kilakala msikie matokeo yake .
Nawatakia kila la kheri.