Mchina amewezaje kupenya rada hadi Palestine

nbayoungboy never broken

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2025
Posts
383
Reaction score
365
Tukirudi nyuma Israel ilifunga anga hadi marekani akatengeneza bandari ya mda ili kufikisha msaada gaza.

Leo hii mchina kapeleka msaada tena kupitia anga na jets za kivita kwa rada na mifumo ya Israel zingemnasa sababu Lote ni eneo la kivita.

Amewezaje au kulikuwa na makubaliano yoyote na Israel au China iko mbele sana haya mambo???
 
Leta hiyo habari tuisome kwanza..
 
kwani gaza hipo wapi?.
Unaweza kukuta wewe ni ccm pendwa ya wakina lucas
IMG_1405.jpeg
 
Tukirudi nyuma Israel ilifunga anga hadi marekani akatengeneza bandari ya mda ili kufikisha msaada gaza.

Leo hii mchina kapeleka msaada tena kupitia anga na jets za kivita kwa rada na mifumo ya Israel zingemnasa sababu Lote ni eneo la kivita.

Amewezaje au kulikuwa na makubaliano yoyote na Israel au China iko mbele sana haya mambo???
jambo usilolijua ni kwamba, westbank hakuna uwanja wa ndege, ukienda kipande chochote unachokiita palestina unatakiwa sio tu kupata visa ya israel bali kudondoka kwenye airport za israel. lazima wakuruhusu. kwahiyo mchina sio jini, aliwaomba israel access, wakamruhusu. na mchina ni mhuni sana kama kina mrema waliohamia chauma, wanapokuwa na wewe pia wanakuwa na mwengine kwa maslahi yao. kama mtu anaweza kukaa meza moja na marekani uswiss kujadili jambo wakati walionyesha kutofautiana sana, unajua ambacho huwa wanaongea huko? kuna silaha yeyote ya kichina ulishawahi kuona hamas wamekamatwa nazo? hata pale gaza mchina alikuwa anaongea tu na maneno yake hua ni kwamba atajenga gaza, meaning, anaomba tenda ya kujenga gaza, anaomba kazi, hayupo pale kuwasaidia, yupo kutafuta maslahi tu.
 
Da nimeshangaa sana
 
Hapo n kweli yupo kimasrahi na kujifanya anautu na hapa lazima maongez huwez amka na midge ya kivita et inacros ovyo mfano Ukraine
 
kuna sikuk utakuja kugundua alikuwa anashikiana na israel kwenye mambo ya siri za anga huko dhidi waarabu huwezi jua. mchina hata hapa kwetu akija, maslahi yake yapo mbele, anaweza kukuingiza mjini na kukuuza bila wewe kujua umeuzwa. bora marekani yupo open akikuuza unajua na anaweza kukuambia,mchina hujui kama anakuuza au anakunyonya.
 
Back
Top Bottom