Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

Wewe ukiambiwa huyu mtu ana kipaji wewe unatafsiri vp kauli hiyo?
Kwamba mtu huyu ana uwezo wa kuzaliwa nao wa kufanya kitu fulani (uwezo aliotoka nao tumboni).

Hiyo ndiyo definition ya kipaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…