Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mchimbaji wa madini mkoa wa Geita Jumanne Misungwi amechukua fomu ya kuomba kugombea Udiwani katika Kata ya Ludete iliyoko Halmashauri ya Mji mdogo wa Katoro Wilaya ya Geita.
Amechukua fomu hiyo leo Juni 28, 2025 katika ofisi za Kata hiyo ambayo amekabidhiwa na Katibu wa CCM wa Kata hiyo Juvenary Kabale.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Misungwi amechukua fomu kuomba kushiriki kura za maoni ndani ya chama hicho ili kupata ridhaa ya kuwa Mgombea wa Chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba Mwaka huu.