super thinker
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 370
- 109
We conclude coz there have been so many things that give us the confidence of having that conclusion confidently............ahadi zilizoishia kwenye makaratasi!!!!!!why dont we just wait and see instead of jumping to a conclusion, not everything in tanzania has sth to do with magamba IMO
kama kupandisha maji mlima.kama u-Alinacha vile!!
NSSF wataishia kutumbukiza akiba za watu zote kwenye real estate development na mwishowe watu wakose mafao yao. Wanachama kaeni chonjo.Wizi mtupu! Mambo ya kusadikika. With magambas in power, they are just virtual images!
kwa hiyo wananchi wajengewe nyumba za bure? sidhani hata kule kunakonuka utajiri au mataifa yote yaliyoendelea wanafanya hivyo, wanafanya hivyo, yaani mtu anakuja dar kuwekeza halafu umlazimishe ajenge au asaidie wanachi wasio na nyumba? biashara gani hiyo sasa, bongo ndio hivyo watu wake wameshakata tamaa na kila kitu wanaona ni hadithi na danganya toto, na jinsi tunavyopenda kupelekeshwa, sasa hivi kila mbogo ni magamba, yaani wamerithishwa baada ya KIKOMBE NA BABU, SIJUI LINALOFUATA NI NINI, kwani nani kasema hii nchi ni ya ccm tuu, au umefanya nini na ukakatishwa tamaa na uwajibikaji wa serikali, si na nyinyi mmekaa tuu mnasubiri wafanye? kwani wao wananusa mnataka nini na wapi hamjatoshelezwa? serikali mbovu lakini sio eti kwa sababu serikali mbovu na watu wake wote waseme ahh, serikali yenyewe ipo hiovi mimi ntafanyje bwana?, je hapo kesho utakua wapi? au mnaweza kurudisha muda nyuma?Kwa faida ya nani?????
Mwenye picha za nyumba za wananchi kilomita 50 kabla ya chalinze atuwekee hapa. Tutaona je tunahitaji hela zote kutumbukiza huko au kuwasaidia wananchi wanaofunika madirisha yao kwa picha za wagombea ubunge wakati hawajui watakula nini????
Hakika tuna matatizo ya akili!!!!!!
acheni upimbi,hawa magamba wanatufanya wote mazumbukuku? hao NSSF ni tool yao ya propaganda kwani daraja la kigamboni wameshajenga? Kila wakati w uchaguzi wanasema ujenzi unaanza mpaka leo tunavuka na panton na naamini mpaka J K ataondoka atamwachia mtaji huo atakeyegombea mwingine.Mkuu barabara za juu (fly over ziko wapi?) nayo ni ahadi ya uchaguzi na mara baada ya uchaguzi waliitwa na mabalozi na picha zikapigwa kuwa ujenzi wake unaanza july,sidhani hata tofali moja limefyatuliwa nayo inabaki ni mradi wa kampeni zijazo kweli wabongo ni wadanganyika na tunabaki na amani na mshikamano wetui ndiyo ujinga wetu
kwa hiyo yale makazi ya mchikichini pale ni mazuri? uwehai kufika mchikichini wewe? kwanza kuna mferji wa maji machafu yanayotoka TBL, yaani hata kama we si mlevi ni mlevi tuu, hili eneo likiboreshwa litatatua tatizo la makazi kwa watu wengi, je hujui watu wanaofanya kazi dar na wanaishai nje ya jiji wanaamka saa kumi usiku ili kufika makazini mapema? hujui kama kuna makazi mengi karibu na jiji yatawoangezea ufanisi? kipawa ishakula nyundo, chikichini itakula nyundo, makongo itakula nyundo, taratibu taratibu ila yote haya ni katika kuimprove maisha ya mtanzania, du bongo sijui iweje ndio watu wake waelewe, eat least wanafanya kidogo kidogo, na muangalie vizuri, wanaomiliki huo mradi hela ni za serikali ua za nani, maana isiwe hata mwekezaji mkamfanya magamba,Kwa faida ya nani?????
Mwenye picha za nyumba za wananchi kilomita 50 kabla ya chalinze atuwekee hapa. Tutaona je tunahitaji hela zote kutumbukiza huko au kuwasaidia wananchi wanaofunika madirisha yao kwa picha za wagombea ubunge wakati hawajui watakula nini????
Hakika tuna matatizo ya akili!!!!!!
| |
Tupo kwenye upembuzi yakinifu kwanzaujenzi utaanza lini?
Mkuu kigamboni kuna hii kitu ya DEGE ECHO VILLAGE, ijapokuwa wamesimama kwa sasa ila habari yake ni ya kuweka mbali na watoto, hawa jamaa wa nssf na ule motto wao usemao:REDEFINING DAR ES SALAAM, hakika wanaufanyia kazikigamboni ile babkubwa mbona bado, imeishia kwenye makaratasi.