Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Acheni fitina za ajabu...kama ni watoto wa vigogo ilishindikana vipi kupewa matokeo yaliyo mazuri...au ilishindikana vp kupewa dessa...tatizo tulilo nalo ni kupandikiza chuki tukijidai ukombozi waja. Acheni porojo...wenyew pia wana haki ya kupata ajira. Mbona hamlalamiki watoto wa madaktari kuwa madaktari.
hakuna kazi kwa maskini tanzaniaWakuu,
Nianze kwa kutoa pongezi kwa watoto wa wakulima na wafugaji kwa kuwagaragaza sana watoto wa vibopa katika written interview iliyofanyika IFM mwaka jana mwishoni na hicho ndicho kilichopelekea second written interview.
Second written interview inayokwenda kufanyika jumamosi hii IFM pamoja na DUCE ni njia ya wazi ya kutaka kufanikisha adhma chafu wa vigogo wa NSSF ambao wana watu wao.
Katika written interview ya kwanza NSSF walitakiwa kuchukua vijana wachache waliofaulu kwa marks za juu ili wafanye oral interview lakini kwa bahati mbaya watoto wengi wa vigogo walianguka sana kwenye ile interview sijajua tatizo ilikuwa ni hesabu au ni nini.
Kwa mantiki watoto wa vigogo ambao walitakiwa waingie oral interview na hatimae wapate kazi hawakufikia vigezo ndipo ukabuniwa mchezo mpya nchini Tanzania "second written interview" ambao interview hiyo imelenga kuwanyanyua watoto vigogo ili waweze kuingia katika oral interview na wakifika oral tu nyie watoto wa wakulima na wafugaji inakula kwenu.
Kiufupi, hiyo interview mpya ya kuandika ni ubunifu wa kuwapeleka ofisini watoto WAO.
Kila la kheri katika interview yenu.
Acheni fitina za ajabu...kama ni watoto wa vigogo ilishindikana vipi kupewa matokeo yaliyo mazuri...au ilishindikana vp kupewa dessa...tatizo tulilo nalo ni kupandikiza chuki tukijidai ukombozi waja. Acheni porojo...wenyew pia wana haki ya kupata ajira. Mbona hamlalamiki watoto wa madaktari kuwa madaktari.
Kiufupi kila mtu alieudhuria interview ya kwanza ameitwa kwenye usahili wa pili swali la kujiuliza hata kama hii ni system yao ya kufanya written mbili ila inavyokua idadi inatakiwa ipungue katika ya pili lakini cha ajabu idadi ni ile ile ina maana mara ya kwanza ilikua kazi bure kufanya pepa na wanaotoka mikoani je si ni gharama hizi zisizo na maana
vigogo wenyew unadhani vigogo basi tu kuchafuana...ukute una ndugu nssf eti inakuwa shida kupata kibarua...kisa majina yanafanana.Hivi kumbe watoto wa vigogo hawastahili.ajira nchi hii hata wakiwa na sifa stahiki
dah...mkuu,yaaani we jamaa kila kitu we unabishaga tu.
Wakuu,