Huyu ndiyo asithubutu hata kutoa pua nje ama kufungua kinywa. Ataharibu mbaya!!Mond anatokea sub
Nchi ngumu hiii 🤣🤣🤣🤣 kama kuna kuzaliwa upya yarabi naomba nisizaliwe kwa vilaza!Nilipochoka nikuona wanaharakati wanaosema unfollow wasanii wao wanawafollow🙆
Yupi Kwa mfano?Nilipochoka nikuona wanaharakati wanaosema unfollow wasanii wao wanawafollow🙆
Gen z washaachia! Kama mtu hutaki kumfatilia kwenye page yake unaenda kucomment ili iweje? Tuliposhindwa kuwaunfollow kwenye mitandao ya kijamii ndipo walipotudharau.Nchi ngumu hiii 🤣🤣🤣🤣 kama kuna kuzaliwa upya yarabi naomba nisizaliwe kwa vilaza!
Mhalifu hawezi kuzuia uhalifu!!Mziki ni haram hatutaki wasanii, na pia mtu yoyote anaepanga maandamano haram ya uhalifu na uharibu wa mali atashughulikiwa bila huruma ukileta unyumbu wa kihalifu kuiba na kuharibu mali za watu utakutana na risasi hakuna huruma kwa wahalifu.
Tunataka hii nchi tuiweke kwenye mstari watu waache umbea, waache mziki, waache uhalifu kila mtu apige kazi .
Punga leo umeongea pointi.Mziki ni haram hatutaki wasanii
😃😆😀Punga leo umeongea pointi.
Like nimekupa.
Ila nasikia Samia anapenda muziki wa taarabu.Mziki ni haram hatutaki wasanii, na pia mtu yoyote anaepanga maandamano haram ya uhalifu na uharibu wa mali atashughulikiwa bila huruma ukileta unyumbu wa kihalifu kuiba na kuharibu mali za watu utakutana na risasi hakuna huruma kwa wahalifu.
Tunataka hii nchi tuiweke kwenye mstari watu waache umbea, waache mziki, waache uhalifu kila mtu apige kazi .
Hahaha kama wanafanya hivyo basi malofa kweli kweli...Nilipochoka nikuona wanaharakati wanaosema unfollow wasanii wao wanawafollow🙆
😂😂Kwahiyo wasanii wanarudishaje harakati za kuiondoa CCM?
Ni vizuri tukaacha mihemko MTU Kama shilole Ambaye aliwahi kusema kaishia darasa 03 na harmonize lasaba .
Watu Kama hawa wanawezaje kuwa na sauti na wakasikilizwa na watu wenye akili zao timamu.
Wasanii wana influence Ila bado haitoshi kumshawishi MTU mambo ya msingi Kama ustawi wa Taifa lake n.k
Mambo Kama Follow , un follow yanasaidia nn
Kama anavyosema Robert Greene don't offend the wrong enemy
Wao wanatumika na CCM kwahiyo haijalishi wanaspoti CCM Ila kuwachukia wasanii ni aina ya ujinga .
Ni sawa na hawa security Agency .
Ikiwa Adui yako unamjua kwanini usimfate yeye.
Kuna wakati nasikia watu wansema mbona wasanii hawaongei
Yaani hawa wasanii wetu wanauwezo wakuongelea siasa wanautaaalamu huo kweli.
Wakazi , Roma hawa ni educated na wanauwezo wa Ku-grab knowledge kwa haraka .
Hata wakiongea ni sahihi kabisa
MTU anataka shilole darasa La 03 kuongelea na kuchambua siasa kidding
Account za wasanii wengi ila kwa mfano mdogo nenda account ya millardayo ukaona wakina wakazi, maria sarungi na wanaharakati wengine walivyojazanaYupi Kwa mfano?
Labda!!Account za wasanii wengi ila kwa mfano mdogo nenda account ya millardayo ukaona wakina wakazi, maria sarungi na wanaharakati wengine walivyojazana
Tutamshughulikia.Ila nasikia Samia anapenda muziki wa taarabu.