Mchezaji wa Kaizer Chiefs: Siwajui vizuri Yanga, nawajua Simba sababu tuliwahi kuja hapa wakatuchapa tatu kwa nunge

".....Siwajui vizuri Yanga, nawajua Simba sababu tuliwahi kuja hapa wakatuchapa tatu kwa nunge."

Maneno ya Mchezaji wa Kaizer Chiefs baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa JK, Dar es Salaam kwa ajili ya Tamasha la Mwananchi.
1689929503202.png
 
Kama unawajuwa vizuri Wasouth Africa walivyo washamba huwezi kushangaa kauli hiyo.

Taifa linaloongoza kwa RAIA wake kukosa international exposure ni hao South Africa.

Halafu usishangae hapo mwenzako anajuwa ni Simba chips ni maarufu sana South Africa na zile Rays.
Sasa kama ni washamba kwanini mumsajili skudu Sasa nani mshamba hapo kama sio nyie mliesajili mshamba
 
Hajasema kama anaijua kama timu kubwa au yenye mafanikio sababu pekee ni kufungwa ,sasa hakuna Maajabu hapo sasa ajabu Makolo yanashangilia kama kombe vile.
 
Ndio watakuwa kuwa hawajui, walikuwa wanakutana na watoto Sasa wanakutana na baba zao.Ni sawa sawa unakwenda ofisi Fulani unakuta mpambe wa bosi au ps kaulamba kuliko bosi ukadhani ndio boss , Sasa unavyokuja kukutana na mwenyewe unaweza kumwambia boss yupo wapi? Hapo Ndipo utamwatarishia kibarua chake
 
Kama unawajuwa vizuri Wasouth Africa walivyo washamba huwezi kushangaa kauli hiyo.

Taifa linaloongoza kwa RAIA wake kukosa international exposure ni hao South Africa.

Halafu usishangae hapo mwenzako anajuwa ni Simba chips ni maarufu sana South Africa na zile Rays.
Heeeeee 😜😜😜😜
 
Namshangaa kiongozi mkubwa wa simba, tena Mwenyekiti wa bodi, ni zaidi ya ceo, anapost video na hajaelewa kinachongelewa/

yule mchezaji ameongea kimpira hawaijui yanga, zaidi ya simba kwa sababu wamecheza nayo.

Simba mnatatizo kwenye uongozi, SALIM hivi vitu amuachie ahmed ally
 
Ina maana ni Try again ndio anafanya huu utoto?

Basi huyo ni lazima atakuwa na account Tiktok.
 
Namshangaa kiongozi mkubwa wa simba, tena Mwenyekiti wa bodi, ni zaidi ya ceo, anapost video na hajaelewa kinachongelewa/

yule mchezaji ameongea kimpira hawaijui yanga, zaidi ya simba kwa sababu wamecheza nayo.

Simba mnatatizo kwenye uongozi, SALIM hivi vitu amuachie ahmed ally
Anajua watu wake wanapenda vitu cheap, hapo yamelipuka kama nyumbu msimu mzima wametoka tupu sasa hivi wamewekeza nguvu kwenye vituko
 
Back
Top Bottom