Mchepuo uliochukua kidato cha sita umekusaidieje?

Ryan The King

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
2,788
2,690
Aje wadau.

Mimi nilichukua HGK
HGK ni moja ya michepuo ya masomo ya sayansi jamii yaliyopo ichini.
Hujumuisha history, Geography, na Kiswahili.

Mchepuo huu umenipa faida zifuatazo;-
1. Kutunga simulizi fupi, riwaya, na tamthiliya ambazo mpaka sasa baadhi ya kazi zinaniingizia pesa.

2. Kuandika Scripts za filamu ambazo baadhi waigizaji wakubwa baadhi huzichukua na kuziigiza.

3. Kufundisha kwani ni Mwalimu kwa taaluma japo sijaajiriwa lakini kupitia tuition najipatia pesa za hapa na pale.

4. Nafanya kilimo kupitia elimu ya Geographia kuhusu udongo na kilimo ambayo mpaka sasa sijuti.

Je wewe Mchepuo uliosomea umekusaidia nini?
 
PCB purely science!!
A Pharmacist nina mda mfupi sana kwny taaluma yng na bado sijaajiriwa lkn nina earn up to 1.5M economicaly somehow im stable na nko na significant impact kwa wanaonizunguka kwa kutoa msaada tiba na ushaur panapohitajika
 
Safi Sana mkuu.
Nadhani unajivunia fani yako
 
Back
Top Bottom