Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,454
- 145,535
Njia kuu ni Mchagga[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Kwanini usiupandishe cheo ukawa njia kuu badala ya mchepuko wa kudumu?
Amazing, exciting, exhilarating, thrilling....Interesting...
Ah kwenda zako huko[emoji57]Njia kuu ni Mchagga[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Hapana...gf ni wa kutambulishwa hadi nyumbani.Tafsiri ya mchepuko ni only kama umeoa au yeye kaolewa
kama wote hamko kwenye ndoa sio mchepuko...muite gf
Niende kwa Mchagga wangu?Ah kwenda zako huko[emoji57]
leo nilikuwa nikagegede mchepuko wangu CBE dakika za mwisho umezinguaTokea awali, yaani tokea nianze kuwa na huu mchepuko, nilihisi kuwa unaweza kuwemo humu ila umejikausha tu.
Sasa leo ndo nimegundua kuwa kweli upo humu.
We toto la Kinyakyusa kwa nini unajikausha hivyo? Yaani umeunyuti unajifanya hata JF hujui inafananaje ilhali upo muda wote humu.
Ndo mambo gani sasa hayo ya kuchorana?
Madhali nishajua upo ingawa unajifanya haupo, dawa yako naikoroga.
Ila gademu...uko mzuri kupita maelezo. Toto hata kipele usoni huna. Ngozi nyororo utadhani ya mtoto mchanga.
Hakika unastahili kuwa mchepuko wa Ngabu. Vigezo na viwango vyake vyote umevikidhi kwa zaidi ya asilimia 80.
Kwako naamini nitakuwa mchepuko wa kudumu.
Toto la Kinyakyusa.....unataka kuchapwa wewe eeh[emoji8]
Kwahuo mchepuko wakoNiende kwa Mchagga wangu?
Si uende pale Kangaroo ukachukue wale wa mwendokasi....leo nilikuwa nikagegede mchepuko wangu CBE dakika za mwisho umezingua
Hapana...gf ni wa kutambulishwa hadi nyumbani.
Huyu kama si mchepuko basi ni cutty buddy....