Mchepuko wangu kaanza kuchepuka

Mchepuko wangu kaanza kuchepuka

Mchepuko kaona huo upuuzi bora achepuko na yeye
mwanzo kwa akili za kijinga mwanamke akitongozwa na mme wa mtu anajiona yeye ndo anajua kulea na kumdhibiti mwanaume na kwamba mkewe ana mapungufu sasa muda ukienda anajikuta kila siku yeye ni wa kufichwafichwa ndo anashtuka anapoona jamaa haoneshi dalili za kumuacha mkewe au za yeye Mchepuko kutambulishwa, linamshuka anaanza visa waachane ili awe huru kuwa na mtu atakayetoka naye hadharani... Wanawake mwalimu wenu kipofu
 
ENDELEENI KUCHEPUKIANA...AMKUBALIE TU HUYO JAMAA...MUENDELEE KUCHEPUKIANA...NA UMJUE KABISA JAMAA ALIYEMPATA NA MUWE MNASALIMIANA KABISA...

ALAFU MWAMBIE HUYO DEMU AKIWA ANAENDA KUGONGWA NA HUYO JAMAA AKWAMBIE...

SHWAIN MKUBWA WEWE...
Sawa sawa!!
 
Kwani alivyokuambia hivyo umehisi kuumia moyo!? Kama umehisi hvyo ni heri umuoe huyo mchepuko. Yani upo stage ya uchumba tu tyr unamchepuko, aiseee haufiki mbaliii. Kama namuona mchumba ako nae alivyo na kimchepuko chake ili siku yakibuma naye apate pakupumzikia..
 
Kufeni tu... Sio kuchepuka waziwazi Ila sababu ya mambo ya mawasiliano na mitandao ilivyo kukamatwa ni rahisi
Aaaahh kweli siku izi watu wanafatilia balaaa, na hata case za watu kufumuliwa marinda zimeongezeka .

Unajiuliza Na usomi wote na heshima bado ufumuliwe marinda??? Unaamua kukataa kua kaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii hadithi tuiite Mchepuko Mchepukaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom