Mchepuko wangu kaanza kuchepuka

Mchepuko wangu kaanza kuchepuka

Dada zetu nachowapendea wana huruma sana.

Atajua una mtu lkn bado anakuonea huruma anaekupa mzigo.
Kwani wanaume mnayaangalia maisha kwa angle gani? Sio nyie mnaoenda kununua ngono mtaani? Hamjui kuwa hapo anapiga kila mtu? Sio nyie mnaotongoza wake wa wenzenu? Tena mmewe unamjua kabisa... Katika haya mambo mie naona tupo ngoma droo. Wanawake wana michepuko na wanaume wana michepuko... Mme akizaa nje ya ndoa anajiona kidume huku kwenye ndoa yake analea watoto wa wenzake 😂 😂 😂 Mtulie tu wanaume
 
Natumaini Christmas na boxing day yenu imekwenda vyema wakuu. Tuvumiliane uandishi, somo la mwandiko sikuwahi kufaulu.

Iko hivi, nina mchumba wangu tuko pamoja huu mwaka wa 3, tuko vizuri tu hakuna shida yoyote kwenye uhusiano wetu.

Baada ya kusoma nyuzi nyingi za wanaume kuchapiwa mke au mpenzi kwa hili jukwaa, nikaona ni bora nitafute mchepuko ili siku tukiachana nipate pakupumzika.

Nilipata mchepuko miezi 6 nyuma, yuko vizuri ananihudumia poa sana, napewa mambo ya tanga kama yote vile,sio wa vizinga, kiujumla ametulia sana tu na anafahamu kuwa nina mchumba.

Tatizo limeibuka wiki iliyipita baada ya kufanya matusi, akaniambia"baba swalehe nimepata mwanaume ambae naona yuko serious na mimi sasa chagua moja uachane na mchumba wako ili mimi niwe official wife to be au nimkubalie huyo jamaa lakini tuendelee kuchepukiana".

Kiukweli mpaka naandika uzi sijamjibu chochote zaidi ya kumwambia NIPE MDA NTAKUJIBU.

Wajuzi wa haya mambo ushauri wenu unahitajika.
NB: Siwezi kumuacha mchumba wangu.
Mwache achepuke maana hata wewe unachepuka...halafu unayomfanyia huyo mchumba wako siyo poa hata ndoa yako itajayumba kwa sababu ya tabia za ajabu ajabu...nyie endeleeni kuchepuka mpe na mimba kabisa
 
Kwani wanaume mnayaangalia maisha kwa angle gani? Sio nyie mnaoenda kununua ngono mtaani? Hamjui kuwa hapo anapiga kila mtu? Sio nyie mnaotongoza wake wa wenzenu? Tena mmewe unamjua kabisa... Katika haya mambo mie naona tupo ngoma droo. Wanawake wana michepuko na wanaume wana michepuko... Mme akizaa nje ya ndoa anajiona kidume huku kwenye ndoa yake analea watoto wa wenzake 😂 😂 😂 Mtulie tu wanaume
Em kunywa bia yoyote chief bili kwangu mpaka tarehe 1 January
 
Kwani wanaume mnayaangalia maisha kwa angle gani? Sio nyie mnaoenda kununua ngono mtaani? Hamjui kuwa hapo anapiga kila mtu? Sio nyie mnaotongoza wake wa wenzenu? Tena mmewe unamjua kabisa... Katika haya mambo mie naona tupo ngoma droo. Wanawake wana michepuko na wanaume wana michepuko... Mme akizaa nje ya ndoa anajiona kidume huku kwenye ndoa yake analea watoto wa wenzake Mtulie tu wanaume
Jamaan sindo maana nmeanza nanyinyi. Mnaroho nzuri
 
Sasa kama "huwezi kumuacha mchumba wako", unataka upewe jibu gani? za kuambiwa changanya na zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom