Mchepuko wangu kaanza kuchepuka

Mchepuko wangu kaanza kuchepuka

hopetumaini

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
529
Reaction score
317
Natumaini Christmas na boxing day yenu imekwenda vyema wakuu. Tuvumiliane uandishi, somo la mwandiko sikuwahi kufaulu.

Iko hivi, nina mchumba wangu tuko pamoja huu mwaka wa 3, tuko vizuri tu hakuna shida yoyote kwenye uhusiano wetu.

Baada ya kusoma nyuzi nyingi za wanaume kuchapiwa mke au mpenzi kwa hili jukwaa, nikaona ni bora nitafute mchepuko ili siku tukiachana nipate pakupumzika.

Nilipata mchepuko miezi 6 nyuma, yuko vizuri ananihudumia poa sana, napewa mambo ya tanga kama yote vile,sio wa vizinga, kiujumla ametulia sana tu na anafahamu kuwa nina mchumba.

Tatizo limeibuka wiki iliyipita baada ya kufanya matusi, akaniambia"baba swalehe nimepata mwanaume ambae naona yuko serious na mimi sasa chagua moja uachane na mchumba wako ili mimi niwe official wife to be au nimkubalie huyo jamaa lakini tuendelee kuchepukiana".

Kiukweli mpaka naandika uzi sijamjibu chochote zaidi ya kumwambia NIPE MDA NTAKUJIBU.

Wajuzi wa haya mambo ushauri wenu unahitajika.
NB: Siwezi kumuacha mchumba wangu.
 
ENDELEENI KUCHEPUKIANA...AMKUBALIE TU HUYO JAMAA...MUENDELEE KUCHEPUKIANA...NA UMJUE KABISA JAMAA ALIYEMPATA NA MUWE MNASALIMIANA KABISA...

ALAFU MWAMBIE HUYO DEMU AKIWA ANAENDA KUGONGWA NA HUYO JAMAA AKWAMBIE...

SHWAIN MKUBWA WEWE...
 
Ukimuoa mchumba uliyenay nakutabiria hutakaa naye hata mwaka! maana umetafta mchepko mapema baada ya kuziona dalili au tabia za mchumba uliye naye!
 
Ukimuoa mchumba uliyenay nakutabiria hutakaa naye hata mwaka! maana umetafta mchepko mapema baada ya kuziona dalili au tabia za mchumba uliye naye!
Mkuu kuikweli sijaona tatizo lolote kwa mchumba wangu mpaka sasa ni uoga wangu tu ndio umefanya nitafute mchepuko.
 
Unaomba ushauri gani wewe utakuwa gasho tu huna lolote.
 
Nilichofikiri mimi mchepuko amekupenda kweli...kukwambia ivo ni kama anataka kujua yupi unampenda zaidi kati yake na mchumba ako
Inawezekana hata hakuna mwanaume mwingine aliyempata
 
Kunguru ni kunguru tuuu, hata apakwe rangi atabaki kuwa kunguru!

Kunguru hafugiki
 
Nilichofikiri mimi mchepuko amekupenda kweli...kukwambia ivo ni kama anataka kujua yupi unampenda zaidi kati yake na mchumba ako
Inawezekana hata hakuna mwanaume mwingine aliyempata
Madame hii avatar yako fanya urekebishe maana inanitoa kwenye uwepo wa Bwana.
Help me please, am geting mad!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom