dickdickinyo
Senior Member
- May 19, 2015
- 118
- 53
Sasa kuna rafiki yangu anasema anajua dawa ila hataki kunitajia..Anadai nimuunganishe na mchepuko agonge kwanza yeye kama hatonasa atajua dawa inafanya kazi.Niko njia panda
Wacha weeee
Sasa kuna rafiki yangu anasema anajua dawa ila hataki kunitajia..Anadai nimuunganishe na mchepuko agonge kwanza yeye kama hatonasa atajua dawa inafanya kazi.Niko njia panda
Yaan watu siku hizi wanaona kuchepuka ndo issue kumbe kujazana ujinga tu.Madhara ya huko kuchepuka kwenyew ni makubwa kuliko faida.
Nina mchepuko ambao una jamaa yake wanaishi wote.Sasa ishu ni kwamba jamaa amemwambia mchepuko kuwa alienda kwa mganga na amemwekea mtego kwamba akichepuka tu anagandana na mwanamme aliyetembea nae.Mchepuko unasita kunipa papuchi kwa kuogopa kuwa tutagandana.