Mchepuko wa zamani anataka tuendeleze mahaba

Mchepuko wa zamani anataka tuendeleze mahaba

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
786
Kuna dada tulikuwa wote kwa miaka zaidi ya nane ila tulikuja kuachana baada ya kuwa amepata mtu ambae ana mpango wa kuishi nae.

Tulikaa tukakubaliana kabisa tufike mwisho. Sasa hivi tuna mwaka mmoja hatuko wote na yule jamaa bado wako nae na mimi niko na mke wangu..

Kinachonishangaza sasa hivi anasema bado ananipenda na anataka tuendelee kusex kwa siri.

Je, niendelee jamani?
 
Fanyeni hadharani
 
Tulia na mke wako...

Vitu kama hivi havihitajigi ushauri... wewe jikute tuu on your own risk...

Cc: mahondaw
 
Kuwa na maamuzi ya kiume. Jambo likifika mwisho liiishe! Utaamuliwa vp maamuzi na binti? Achana nae leo familia.
MATAPISHI HAYALAMBWI
 
Kaa nae mbali tena nakushauri um block kabisa ili kisiwepo na mawasiliano yoyote wala kukutana nae kabisa!
Imeandikwa " ikimbieni zinaa"
Mambo ni ya kutimua mabio na Siyo kuyaendekeza!
 
Back
Top Bottom