Unajua mkuu,vitu vizuri vinakuja 'automatic',sasa mtu anaweka 'condition' fulani ili iwe hivi inabidi iwe vile. Hii ina maana,kama ataendelea kusikilizwa ipo siku utaiona familia yako haifai. Na wengine tunachepuka kwa sababu kadhaa,labda bi mkubwa hawezi kuimili mchakamchaka wa tendo n.k
Sawa jitahidiKweli mkuu,nimeanza kuchukua hatua kwa sababu umri unakimbia na fainali ni uzeeni
Wewe ni mpumbavu. Asante.
Hahaha! Hii nayo inafikirisha sana.Bora huyo kuna wengine wanamueka adi mwanao dp nashindwa kuwaelewa kabisa.
Changamoto za uzazi na kujikuta kupoteza hamu ya mara kwa mara,kazi yake kubwa kwa sasa ni kulea na kuimarisha uchumi. S.ex ni kama vile unamlazimisha.Hawezi Ndio umfundishe mm Sioni Sababu Ya kuchepuka Kisa Eti Mkeo Hawezi mchakamchaka ulioa Wakazi gani sasa hadi mkazaa
Aliweza vipi kukubebea Mimba Kama Hawezi Mchaka mchaka Ninacho Amini.mimi mwanamke
Hutengenezwa awe the way boi wake Anataka awe
Hakuna Anae zaliwa anajuwa Mambo huwenda kwakuelekezana Mpe Fursa Mkeo Hata yakutazama video za romantic lovers Huwenda ikamjenga na kujuwa wajibu wake
Lasivyo Ukitaka vinanvyo juwa Lazima ugharamie no way Mzeee
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha mambo ya msingi mengi tu nimeyafanya hasa kuajiri watu mbalimbali kwenye kampuni yangu.Haya mengine ni sehemu ya maisha ya mwanadamuWewe michepuko itakuua bure akili yako kuwaza k tu kuliko Mambo ya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Changamoto za uzazi na kujikuta kupoteza hamu ya mara kwa mara,kazi yake kubwa kwa sasa ni kulea na kuimarisha uchumi. S.ex ni kama vile unamlazimisha.
Kwa dini yangu siruhusiwi kuongeza,kuhusu mahitaji yake mengi huwa nayatekeleza...ila nadhani anatafuta njia ya kunufaika zaidi kwa kujihalalisha;ingawa najua mwisho wa siku kama nitamsikiliza kwa 100% kuna uwezekano wa kuharibu ndoa ya awali.Sasa huoni Huyo anae play party Ya mkeo nae Anahaki zake
Muhimu ni ukae nae chini then Kumueleza nataka uwe one two three sipendi one two three
Kama wewe Muslim ruhusa wake Wanne unaweza ukajiongeza sasa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu,nimeona huku ninakoelekea kuna uwezekano familia yangu ikayumba.Usiishie kukata simu tu, kata hadi mawasiliano kati yenu.
Kama unampenda kweli mke wako kwa dhati na unamhurumia, baki njia kuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha silaha, ukiheshimu ndoa yako hata mchepuko ataheshimu. Hatathubutu kufanya jambo hatarishi kwa makusudiNyie wanawake huwa mna silaha zenu mnazijua wenyewe
Wote wale waleAna afadhali, kuliko huyo anayetaka ajengewe nyumba na aolewe yeye ahaha
Nina mvi 11wakat unaongea nae mkeo alikua wapi?? pia nahisi bado unauvulana mwingi maana ulichopost kinadhihirisha uvulana mtupu
Sasa kanogewaBahati nzuri nilimuweka wazi tangu mwanzoni,na nimekuwa naye kwa sababu niko mbali kidogo na bi mkubwa.
Mkuu wasipohudumiwa humu mitaani mtakuwa shida Sana.Hata ww si muungwana kwa nn umemtafuta kama mkeo ni muhimu ? Hata yeye anataka hiyo nafasi ya kuwa mkeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na anachopewa na alichokutana nacho alikotoka.
Ni katika harakati za kutaka kupandishwa cheoInategemea na anachopewa na alichokutana nacho alikotoka.
Kuna watu wanasaidia hadi kulipa ada za watoto wa njia kuu.
Sent using Jamii Forums mobile app