Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,509
- 64,852
Sawa mkuu,nitakupatiaNipe mim namba nimuoe
kwa nini mkuuWewe ni mpumbavu. Asante.
Wewe ni mpumbavu. Asante.
Mkuu,niliona anaanza kuingia kwenye himaya nikaona hili ni tatizoUsingekata ungemsikiliza anasemaje
ha ha ha na utoto pia nadhani unachangiaMkuu wengine potezea tu ni majini, alaf kinaonekana kina tamaa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchepuko unataka ujipandishe cheo..
Nashangaa ananipigia simu usiku, huku akiongea kwa sauti ya mahaba...akilalamika amenimisi na anahitaji kuja kuniona. Kiutani nikamwambia kama una nafasi we njoo hata kesho...mara ananiambia inabidi utume kiasi fulani cha fedha ili niweze kuja. Nikamwambia haina shida nikipata nitakutumia. Mara akaanza kutiririka...unajua nataka unioe na kabla ya kukuzalia mtoto inabidi unijengee kwangu. Nikamjibu si unajua mimi ni mume wa mtu na kuongeza mke mwingine siwezi....mara akaja juu na kusema, unamuacha na unaishi na mimi; hapo hapo nikamjibu siwezi kumuacha mke wangu niliyepambana naye toka mbali kwa ajili yako, na nikakata na simu.Hawa watu tuishi nao kwa akili si waungwana.
Wanawake akili zao wanazijua wenyeweMkuu,niliona anaanza kuingia kwenye himaya nikaona hili ni tatizo
Bahati nzuri nilimuweka wazi tangu mwanzoni,na nimekuwa naye kwa sababu niko mbali kidogo na bi mkubwa.Hata ww si muungwana kwa nn umemtafuta kama mkeo ni muhimu ? Hata yeye anataka hiyo nafasi ya kuwa mkeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu,usipokuwa makini unaweza kuumiza ndoa halaliWanawake akili zao wanazijua wenyewe
Kwasababu unafanya upumbavu..kwa nini mkuu
ha ha ha haYaani wewe NI mpumbavu Sana. Asante
Kwahiyo umeona mtoa mada ana akili sana?Wanawake akili zao wanazijua wenyewe
Bora huyo kuna wengine wanamueka adi mwanao dp nashindwa kuwaelewa kabisa.Mchepuko unataka ujipandishe cheo..
Nashangaa ananipigia simu usiku, huku akiongea kwa sauti ya mahaba...akilalamika amenimisi na anahitaji kuja kuniona. Kiutani nikamwambia kama una nafasi we njoo hata kesho...mara ananiambia inabidi utume kiasi fulani cha fedha ili niweze kuja. Nikamwambia haina shida nikipata nitakutumia. Mara akaanza kutiririka...unajua nataka unioe na kabla ya kukuzalia mtoto inabidi unijengee kwangu. Nikamjibu si unajua mimi ni mume wa mtu na kuongeza mke mwingine siwezi....mara akaja juu na kusema, unamuacha na unaishi na mimi; hapo hapo nikamjibu siwezi kumuacha mke wangu niliyepambana naye toka mbali kwa ajili yako, na nikakata na simu.Hawa watu tuishi nao kwa akili si waungwana.
Ata wazee wa kale au baba zetu wanafanya haya mkuuKwasababu unafanya upumbavu..