Mchepuko unakuja leo ila ni sheeda

we muoneshe hii text uliyotuma hum ndani atakuelewa tu,akiwa muelewa atakuonja tu kisha anakupiga chini ila kama sio muelewa ndo basi tena

kuonjwa tena, kumbe na sisi me tunaonjwaga
 

Ulianza vizurri kunishauri ila hapo kwenye red umeniudhi
 
kabla sijashaur kwanza una tsh ngap tukupangie budget hapa? swala jengne we twoo ulifata nn
 
So ukamtumia kabisa 40 na hela ya kutolea kwa akili zako timamu,anyways kwa kuwa ulianza na uongo tafuta tuu kauongo kengine maisha yaendeleee.

Mtoto mwenyewe mzuri sana yani sina tu uwezo ningetoa zaidi ya hapo
 
kumbe wanawake wa hivi, na wanaume wa hivi, bado wapo dunia hii!
 
Pesa unaweza kumkopesha na gari ukamwazima, vipi kuhusu udereva nao utamkopeshaje au kumwazima ??

Kuna mtu aliwahi kupost humu mwanaume nilazima kujua kuendesha gari hata hauna, nlishaufanyia kazi ushauri wake huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…