Hivi kutmba kwa plan kukoje???iv kwann mnatmbag bila plan????? ndo ukome lea hizo mimba unatak bint wa watu aitoe unajuaje safar hii km akifa na yeye??? hapa ndo naIchukiaga hii jinsiA.
Hutaki watoto yeye anataka mtoto sasasitaki watoto tena
Njia panda ya kwenda wapiMsaideni, msimbeze.
Mwenzenu yuko njia panda
Njia panda ya kwenda makabe na Goba.Njia panda ya kwenda wapi
Kumbe unataka atoe....bora ungemwambia utailea na uilee kweli........watu wanatafuta watoto ndugu yangu.....Nilitokea kupata kamchepuko ila nilikaambia nina wife kiukweli ni binti mdogo miaka 20, sasa nilidanganyika pepo likanipitia nikapiga dry nikanogewa mwishowe akanasa mimba.Akaniambia alishatoa mimba 5 kwahii anaogopa kutoa asije toa na kizazi sasa imekua kero kila saa simu mpaka usiku nikiwa na wife nikimwambia haelewi kabisa.
Wakuu imefikia namwambia atoe hataki anatishia atamwambia wife nipo njia panda balaa isije wife akajua maana na wife ana mimba na ni mtata balaa.
Wakuu nifanyeje?
Dah.. eti pepo, acha kumsingizia bana😵Nilitokea kupata kamchepuko ila nilikaambia nina wife kiukweli ni binti mdogo miaka 20, sasa nilidanganyika pepo likanipitia nikapiga dry nikanogewa mwishowe akanasa mimba.Akaniambia alishatoa mimba 5 kwahii anaogopa kutoa asije toa na kizazi sasa imekua kero kila saa simu mpaka usiku nikiwa na wife nikimwambia haelewi kabisa.
Wakuu imefikia namwambia atoe hataki anatishia atamwambia wife nipo njia panda balaa isije wife akajua maana na wife ana mimba na ni mtata balaa.
Wakuu nifanyeje?
Kama hiyo tu afike mbezi luisNjia panda ya kwenda makabe na Goba.
Akaanze upya.Kama hiyo tu afike mbezi luis
Duh... Huoni aibuu unavyoandika. Yaaan unaandika very easily.ee mkuu ni mtoto ila mambo yake makubwa alikua adi ananipa tigo nilishangaa sana