Mchepuko umebeba mimba unataka kumwambia mke wangu

Mchepuko umebeba mimba unataka kumwambia mke wangu

Ndio urijali huu kaka.....jiandae kwa matunzo wanaweza jifungua pamoja ukaona maisha yanakunyongea chini kumbe starehe gharama.....nitakusaidia pampas moja kwa wote [emoji12]
yaani ya wife imemzidi one month only
 
yani umeongea kama vile unaomba ushauri wa biashara gani ufanye. umeongea kirahisi sana!
 
Da pole mkuu coz mimi kamchepuko kangu kanataka nikape MIMBA sasa nimepata funzi hapo kwako ila USIHOFU BRO yatapita tu usiwaze sana na amini tu kila jambo linakuja na wakati wake na hujui itakuja kuwaje huko mbele mimi nilimpa mchepu mwingine mimba du ilikuwa hTari san ila sasa yameshIsha
Unaona sifa shen**i taip. Laana khum wewe na mleta uzi. Mbuzi kasoro mkia..
 
Mwambie tu azae ulee mwanao...vuna ulichokipanda mkuu...hayo ndo matunda.
 
Mweeeee !!!!! Wanaume kwa nn mnakuwa hamuna mapenz ya dhat?

Umekosa nn kwa mkeo?kwa nn unamlipa ubaya namna hii? Hv mfano angekuwa na mimba amboyo si yako ww ungekuwa na hali gan?

Halafu nawasikiaga tuu mnasema pepo au shetan aliwapitia huwa munakua na miadi nae?au huwa mnakutana nae wap?au ndo mnaandamana kwenye huo uzinzi na kuua mimba mnazojaliwa?

Hapo tukusaidie nn kuhalalisha kuua?hv kwann hamjifunz kwa wenzenu humu jf wakipata shida km hz?mumekuwa matomaso mpaka yawakute?

MUNGU akusamehe maana hiyo ni DHAMBI ya makusudi na akupe wepesi wa kutatua matatizo na akupe HEKIMA YA JUU.

NB;NDOA SI UWANJA WA MAKAHABA KUMBUKA MWILI HUO NI WA MKEO NA SI WAMICHEPUKO.

~NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE
 
yaani ya wife imemzidi one month only

Daaaahh kikupacho utamu na uchungu kitakupa pole mwaya........akiomba kitu usipompa silaha kumweleza wife.......hapo watakiwa kujipanga vizuri mwanamke akiwa na mimba anaweza kufanya/kutoa maamuzi yoyote bila kutafakari matokeo......
 
Hizi mada za kitoto nimeshachoka kuzitolea ufafanuzi. Kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe...
 
Mwambie tu azae ulee mwanao...vuna ulichokipanda mkuu...hayo ndo matunda.
 
Nilitokea kupata kamchepuko ila nilikaambia nina wife kiukweli ni binti mdogo miaka 20, sasa nilidanganyika pepo likanipitia nikapiga dry nikanogewa mwishowe akanasa mimba.Akaniambia alishatoa mimba 5 kwahii anaogopa kutoa asije toa na kizazi sasa imekua kero kila saa simu mpaka usiku nikiwa na wife nikimwambia haelewi kabisa.

Wakuu imefikia namwambia atoe hataki anatishia atamwambia wife nipo njia panda balaa isije wife akajua maana na wife ana mimba na ni mtata balaa.

Wakuu nifanyeje?
Sijui kama nakosea(kqma nakosea mnisamehe tu) but HV kwann wana wake hawanaga akili HV
Kwahyo akimwambia wife then either way(mkaachana au mkasameheana) then itakuu na unafuu kwake anyhow?au anadhan utamuacha wife umuoe yeye?
Besides ailijua una wife since kitambo so ni mimba tu inamfanya ajibebedue hvyo au is just A plan ili ndoa?
Kama ni plan angalia hata mtoto anaweza kua sio wako
 
Mkuu yawezekana ujauzito sio wako...kapata kwingine afu anakutupia,kama katoa mimba za watu watano nje,iweje hii moja iwe yako..cha msingi mwambie azae na utalea,apo ndo utamkamata
 
Nilitokea kupata kamchepuko ila nilikaambia nina wife kiukweli ni binti mdogo miaka 20, sasa nilidanganyika pepo likanipitia nikapiga dry nikanogewa mwishowe akanasa mimba.Akaniambia alishatoa mimba 5 kwahii anaogopa kutoa asije toa na kizazi sasa imekua kero kila saa simu mpaka usiku nikiwa na wife nikimwambia haelewi kabisa.

Wakuu imefikia namwambia atoe hataki anatishia atamwambia wife nipo njia panda balaa isije wife akajua maana na wife ana mimba na ni mtata balaa.

Wakuu nifanyeje?
Mansniper jina linaendana na vitendo vyako. Mchepuko umeutunga na wife umemtunga pia.
 
Du! We noma mchepuko adi mimba wenzio tunapiga na maganda
 
Back
Top Bottom