Mchepuko Si Mkeo Wa Pili

Kor 1:7 lakini kwasababu ya uzinzi Kila mwanaume na awe na mke wake mwenyewe ,
Na kaendelea pia kwa wanawake kila mmoja awe na mume wake mwenyewe.

We tuzini tu lkn si kusema tumeruhusiwa ndg
Bado hamjajjbu hoja, swali je ni wapi pametolewa hukum kwa Mwanaume kuoa wake wengi kwenye Biblia ? Nawambia kuoa mke mmoja ni ubinafsi wa hali ya juu .Ba hapa Mtahukumiwa sana!!
 
Kuna imani inawaruhusu watu waoe mpaka wake wanne wewe ni nani mpaka upinge.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Hii number inayozid kila leo je itahudumiwa na nanii? Kwamba Mungu atengeneze wanawake wengi ili wawe wapweke?
We oa tu hata watatu au zaidi hakuna shida.

Shida huja pale ukiwa ni mtu wa kugonga na kusepa, hiyo ni dhambi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…