Tate top G
Senior Member
- Jan 4, 2023
- 171
- 591
🔨🔨🔨🔨Kwani Mungu wa agano la kale na agano jipya ni tofauti??
Yana maelekezo yako ni kama yamemtoa kasoro Mungu..
Kuna watu wengi tu walikuwa vipenzi vya Mungu na walikuwa na wake wengi...
Madogo,mwanaume mmoja kwa mke mmoja ni impractical,wote tunajua hili Sema ndo vile tu wadhungu wapo busy kupunguzA nguvu na mavyakula na kutuharibu kisaikolojia...
Mwanaume mwenye afya yake nzuri ambaye haangalii porn wala naked pictures huko social media hawezi kuridhika na mke mmoja.Sababu sio mwanaume bali ni mwanamke mmoja hatoshi kumridhisha mwanaume mmoja mwenye afya yake nzuri..
Mwanamke ana siku za bleed,ana siku za uchovu haya akijifungua ana miezi kadhaa yakunyonyesha...kuna siku Hana mood tu
No wonder wanaume waliooa mke mmoja ,wengi wao with time utakuta nguvu za kiume zinapungua.. biology inakataA Kila sehemu.
Waulize waliooa watakwambia mwanamke mwenye hisia ni bidhaa adimu,80% ni ukilala nae leo subiri siku 3 tena huyo ndo shukuru wengine subiri week kuendelea.. Mwanaume wengi siku hizi ni kama wamesusa kufanya mapenzi na wake zao wamekuwa rejected to the point Hana tena mda wakumuandaa mwanamke ni kushika kupaka mafuta kupiga BAO 1 kulala,wakijisikia kufanya mapenzi na roho zao zisuuzike inabidi watoke nje wakatafute mwanamke ambaye anahisia ukapige BAO 3 moyoni unajisemea hivi kumbe nguvu bado ninazo eeee maana nyumbani mkeo Kawa km dada Yako vile Hana mda...
Yaani sex kwa mke imekuwa adimu kiasi kwamba umesahau hata km kuna umuhimu basi unasubiri tu siku una stress stress usingizi hauji unapiga kimoja tena hata kumuandaa unaona ni kupoteza mda sababu mtu yupo yupo tu km hana hisia na huoni ht anajali hilo zoezi..Mind you, sex ni basic need kwa mwanaume Sasa imagine una mke Mmoja tu weeeeee utaanza visirani vya kijinga mpk atashangaa..akisoma meseji anakuta umetuma kibunda kwa Rehema akiomba buku Unasema huna..anajiuliza huyu mtu mbona kabadilika.Akijirudi akupe sex anakuta ushaomba hadi umeona upuuze tu huna tena mzuka nae .Hii ndo crisis ya ndoa nyingi sana za kikrito...
Babu zenu walikuwa na wisdom ambayo walizaliwa nayo kila jamii dunia ilikuwa na ndoa za mwanaume mmoja,wake wengi Why???wakati jamii zilikuwa hazijuani???walijifunza auto kwamba asili inakataa...
By the way,Nina mke mmoja ndoa ya kikrito ila deep down najua kuna sehemu zimepwaya,Ndo mana mwanaume lazima uwe na hobbies ili usiwaze ngono mda wote otherwise hatoshiiiiiiiiiiii.
Kwa mwanaume kijana mwenye vision na focus ya kutajirika maishani, hutakiwi kbs kuwa na girlfriend.Mtu nikishalala nae sio mchepuko, simuiti mchepuko coz she's mine...hivyo tu!!
Kilichompata sasa huyo Suleiman....[emoji2960]Solomon kwenye hio hio biblia alikuwa na wake wengi na michepuko
We ni nani upinge embu achana na sisi acha kabisa kugeuza maandiko
Lini Binadamu aliwahi kuridhika kwa anasa za hii dunia?Kwani Mungu wa agano la kale na agano jipya ni tofauti??
Yana maelekezo yako ni kama yamemtoa kasoro Mungu..
Kuna watu wengi tu walikuwa vipenzi vya Mungu na walikuwa na wake wengi...
Madogo,mwanaume mmoja kwa mke mmoja ni impractical,wote tunajua hili Sema ndo vile tu wadhungu wapo busy kupunguzA nguvu na mavyakula na kutuharibu kisaikolojia...
Mwanaume mwenye afya yake nzuri ambaye haangalii porn wala naked pictures huko social media hawezi kuridhika na mke mmoja.Sababu sio mwanaume bali ni mwanamke mmoja hatoshi kumridhisha mwanaume mmoja mwenye afya yake nzuri..
Mwanamke ana siku za bleed,ana siku za uchovu haya akijifungua ana miezi kadhaa yakunyonyesha...kuna siku Hana mood tu
No wonder wanaume waliooa mke mmoja ,wengi wao with time utakuta nguvu za kiume zinapungua.. biology inakataA Kila sehemu.
Waulize waliooa watakwambia mwanamke mwenye hisia ni bidhaa adimu,80% ni ukilala nae leo subiri siku 3 tena huyo ndo shukuru wengine subiri week kuendelea.. Mwanaume wengi siku hizi ni kama wamesusa kufanya mapenzi na wake zao wamekuwa rejected to the point Hana tena mda wakumuandaa mwanamke ni kushika kupaka mafuta kupiga BAO 1 kulala,wakijisikia kufanya mapenzi na roho zao zisuuzike inabidi watoke nje wakatafute mwanamke ambaye anahisia ukapige BAO 3 moyoni unajisemea hivi kumbe nguvu bado ninazo eeee maana nyumbani mkeo Kawa km dada Yako vile Hana mda...
Yaani sex kwa mke imekuwa adimu kiasi kwamba umesahau hata km kuna umuhimu basi unasubiri tu siku una stress stress usingizi hauji unapiga kimoja tena hata kumuandaa unaona ni kupoteza mda sababu mtu yupo yupo tu km hana hisia na huoni ht anajali hilo zoezi..Mind you, sex ni basic need kwa mwanaume Sasa imagine una mke Mmoja tu weeeeee utaanza visirani vya kijinga mpk atashangaa..akisoma meseji anakuta umetuma kibunda kwa Rehema akiomba buku Unasema huna..anajiuliza huyu mtu mbona kabadilika.Akijirudi akupe sex anakuta ushaomba hadi umeona upuuze tu huna tena mzuka nae .Hii ndo crisis ya ndoa nyingi sana za kikrito...
Babu zenu walikuwa na wisdom ambayo walizaliwa nayo kila jamii dunia ilikuwa na ndoa za mwanaume mmoja,wake wengi Why???wakati jamii zilikuwa hazijuani???walijifunza auto kwamba asili inakataa...
By the way,Nina mke mmoja ndoa ya kikrito ila deep down najua kuna sehemu zimepwaya,Ndo mana mwanaume lazima uwe na hobbies ili usiwaze ngono mda wote otherwise hatoshiiiiiiiiiiii.
Una akili wachache watakuelewa,Kuwa na mchepuko ni siri chafu ya mwanamume aliyeko katika ndoa ya - siri hiyo huenda sambamba kwa mwanaume kumdanganya mke wa ndoa kuwa anampenda yeye tu! Akiingia mtaa wa pili ana mchepuko, huko hufanya uzinzi kwa kwenda mbele.
Mchepuko sio mkeo wa pili.
Katika tamaduni ambazo mitala inatekelezwa, kuoa wake 2, 3, 4,…,nk huwa si siri – wanafamilia wote wanafahamiana na kukubaliana – licha ya ushindani baina yao kati ya nyumba na nyumba hakika huwa wanatambuana na kuheshimiana.
Binafsi sitetei ndoa ya wake wengi bali ninatetea sana ndoa ya Mume Mmoja, Mke Mmoja.
Tangu awali mpango wa Mungu kwa wanadamu kuhusu ndoa ulikuwa Mwanamume Mmoja, Mwanamke Mmoja.
Yesu alisema ".. na hao WAWILI watakuwa mwili mmoja"
Mathayo 19:5.
Maana yake hawatakuwa 3, 4, 5,…, waje kuwa mwili mmoja.
Pamoja na hayo ulimwengu huu umevunjika na uko mbali na mapenzi kamili ya Mungu. maana Mungu aliruhusu mitala kinyume na mapenzi yake kamili. Napenda kumtumia Yakobo kama mfano - Wana 12 wa Yakobo - walizaliwa kutoka kwa wanawake 4 tofauti - wakawa mababa wa makabila 12 yaliyobarikiwa ya Israel - waliobarikiwa kutokana na mitala!
Katika 1 Mambo ya Nyakati 3:1-9, Biblia inaorodhesha wake 7 wa Mfalme Daudi - Ahinoamu, Abigaili, Maaka, Hagithi, Abitali, Egla na Bath-sheba. Na Daudi alikuwa na wanawake wengine ambao majina yao hayakutajwa katika Biblia. Hata hivyo, Mungu hakuwahi kumhukumu Daudi kwa mitala - Mungu alimhukumu tu Daudi kwa kuchukua Bathsheba mke wa Uria.
Naamini kuoa wake wengi ni katika MAPENZI YA RUHUSA ya Mungu lakini SIO katika MAPENZI KAMILI ya Mungu.
Katika Agano Jipya, Paulo aliwataka maaskofu kuoa mke mmoja tu ili kutoa mfano wa muungano kati ya Kristo (Bwana harusi) na Kanisa (Bibi-arusi).
1 Timotheo 3:2 - Basi, imempasa askofu awe mtu asiye na lawama, mume wa mke mmoja.
Sababu ya Paulo kutoweka hitaji hili la mke mmoja katika kanisa la kwanza ni kwa sababu na ndugu wengi ambao walikuwa na wake wengi. Aliongeza neema, sio hukumu.
Ni heri ubaki na mke mmoja pasipo mchepuko, au uongeze mke wa pili na sio kuzini na huyo mchepuko wako.
Mchepuko sio mke wako wa pili.
Ubarikiwe.
Pande zote mbiliHii inatuhusu wanaume tuuu au na baadhi ya wanawake wanaotongoza wanaume ili wawekane ilhali wameolewa?
Nikikuita we mzee huwa sikosei ujue ishi sana Eroni unapendwa na shunieMtu nikishalala nae sio mchepuko, simuiti mchepuko coz she's mine...hivyo tu!!
Wengi wanabisha.wachache watakuelewa,
Asante cheupe, uzee ndio kama hivyo eeeeh. Nakupenda pia!Nikikuita we mzee huwa sikosei ujue ishi sana Eroni unapendwa na shunie
Hahahha umekwepa mishale mingi sanaAsante cheupe, uzee ndio kama hivyo eeeeh. Nakupenda pia!
Elimu ndiyo hiyo mwenye kuona akajifunza ni heri kwake ,Wengi wanabisha.
Hivi sakayo wangu ulimpelekaga wapi,Hahahha umekwepa mishale mingi sana
Watu wa Mungu walikuwa na wake 700 navijakazi 300[emoji38][emoji38][emoji24]Lini Binadamu aliwahi kuridhika kwa anasa za hii dunia?
Kuwa Mcha Mungu tu ili akuhekimishe ktk njia zako za kimaisha.
Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu...[emoji143]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hicho kilichompata ni yeye na Mungu wake yamkini yupo kwenye biblia tayari ni role modalKilichompata sasa huyo Suleiman....[emoji2960]
Kiujumla ni tamaa tu huwa zinatuendesha Me maana hata ukiwa na Ke 1000 bado tu hutaridhika utataka tena uonje hata kipochi manyoya cha PISI KALI ambaye bado hajazaliwa [emoji16]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ni masuria na sio vijakazinavijakazi 300
Mkuu hongera, hapa ndipo wengi hawajui, Mimi nawaulizaga watu " kama Mungu alitaka mume mmoja awe na mke mmoja tu, kwanini Mungu huyo huyo ameruhusu jinsia ya kike kudouble kwa viumbe wote? Hii number inayozid kila leo je itahudumiwa na nanii? Kwamba Mungu atengeneze wanawake wengi ili wawe wapweke?" Nawaapia Mungu hawezi fanya double standard with no reasons!! Nendeni mkalitazame Hili"Kwa suala la Polygamy Biblia ipo kimya kabisa kwa maana ya kwamba hakuna hukumu kuhusu hilo jambo.
Kwa suala la uzinzi Biblia imekemea mara nyingi sana, na ina msisitizo mkubwa kwa watu waache uzinzi vinginevyo hawataenda mbinguni.
Ni vyema ukitambua POLYGAMY sio uzinzi
Mwanaume anayetoka na mchepuko ni mzinzi
Mwanaume anayeoa mke zaidi ya mmoja huyo sio mzinzi.
Soma bandiko vizuri utaelewa mpendwa.