Mchepuko sawa, lakini nyumbani patupu

Tatizo umefunga mashine mpya lazima uhisi ile ya zamani haisagi vzr. pia tatizo umependa, umeoza mpaka umenuka kwa huo mchepuko hadin umejiloga kisaikolojia. Pia hapo lazima tu kuna mabo ambayo mkeo hana ila umeyakuta kwa mchepuko. Mwisho mkeo anajiamini kuwa yeye ndiye hakuna mwingine ila yeye ndo maana kabweteka hakupi maufundi wakati mchepuko unataka kuchukua maujiko na kukumeza jumla wewe ndo maana unakupa maufundi. achana mchepuko komaa na mkeo, ikibi mchane oyaa vipi mbona slooow sana mwambie aongeze mwendo barabara kuu ataovatekiwa atajirekebisha mashine itacmama kama kawa.
 
mwache mkeo muoe mchepuko .....pumbavu!
 
Mchepuko umefanya yake pole mkuu ungetulia na mkeo yasingekukuta yote hayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…