Mimi nasema kula raha,
Kula matunda ya Dunia,
Kila mtu na starehe yake jamani tuheshimu maana kuna watu humu mna majanga huyu mwanamke akasome..... Yawezekana aliolewa kwa ushawishi fulani, wake za watu wana Siri sana huko kwenye ndoa zao.
Mada yako nimeikubali na pia naheshimu mawqzo yako. Lkn hapa nakinzana na wewe. Huwezi kutamani aina ya maisha ya mtu mwingine.
Kila mtu ana code yake.
inauma sana pale mkeo uliyelipa mahari ukamwamini kati ya wengi anavyojisifia mtandaoni anavyoliwa na pumbafu mwingine inauma sana heri ungeliwa kimyakimya inauma sana