Mchepuko oyeee!

kwa sababu si muumizi mtu, napambana na khali yangu

Mumeo ndo unae Muumiza. Uzuri uovu haujawahi kubaki gizani. Ndo nyie badae wanaume tunalaumiwa kwamba bora tungeachana je mda wangu unaotumia kunidanganya. Piga Shaba tu pu...vu
 
Hii post ni ya 2019, Dada Dagaa bado unachepuka ? pia wanasema happy women do not cheat, so i guess kama bado unachepuka unapaswa ukae chini na kuyajenga na mumeo nahisi hutoona sababu ya kuchepuka tena. Kila mtu ata paint picha mbayajuu yako kutokana na the way ulivyoiandika post sema naamini kuna kitu kimekukuta kwenye ndoa yako ndio maana ukafikia maamuzi hayo na kujitoa ufahamu. Mungu akufanyie wepesi naakuvushe huko.
 
Mimi nahisi umwambie mumeo kuwa amebadilika hakukuni kama zamani,lol, unless alikua hakukuni tangia zamani,lol...

Ila hizi ndoa hizi, yaani hapo huyo mchepuko wako ukute nae hajitumi kwa mkewe....na wewe mumeo 'anajituma' sana mahali.......khaa..
 
Mumeo ndo unae Muumiza. Uzuri uovu haujawahi kubaki gizani. Ndo nyie badae wanaume tunalaumiwa kwamba bora tungeachana je mda wangu unaotumia kunidanganya. Piga Shaba tu pu...vu
yaani hii Post naona wanaume mapovu yanawatoka ila angekuwa kidume kapost ingekuwa balaa.. acha muumizwe tu maana na nyie mnawaumiza wake zenu vya kutosha
 

1 Kor 6:9 SUV​

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti
hivi kuna tofauti gani Kati ya uzinzi na uasherati
 
hivi kuna tofauti gani Kati ya uzinzi na uasherati
@dagaa ni mzinzi coz kaolewa, mtu yoyote aliyeoa/kuolewa akitoka nje ya ndoa yake amezini.

Uasherati ni kama wewe hapo
upendane na jamaa ambaye nae hana ndoa, halafu mfanye tendo la ndoa..hapo mmefanya uasherati...
 
Huu uzi ulitoa wanaume povu la kwenda, ila reality ameizungumza bwana/bibi dagaa, wengi ndoa zishawashinda..ni mwendo wa kuzini tu. Wake zetu wanaliwa, waume za watu wanakula vya nje sio poa.
 

Mathayo 6:24 BHN​

“Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili. Maana atamchukia mmoja na kumpenda huyo wa pili; au ataambatana na mmoja na kumdharau huyo mwingine.
 

Na mmeo nae yupo na mchepuko mwisho mnachepukana
 
Tukubali tukatae hayo ndo maisha halisi tulokuwa nayo ktk familia/ndoa zetu...
Huyu ana nyumba ndogo...
Huyu ana mchepuko..... Ngoma droo..😂🤣🤣
 
Sasa mmejua kwa nini shetani alivyofika bustanini alianza kwa mwanamke na si kwa mwanaume (Adam)? Alifikia kwa ndugu yake!
 
We kweli dagaa😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…