Mchepuko nao unachepuka

Mchepuko nao unachepuka

Big Lion

Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
46
Reaction score
15
Jamaa ana nyumba ndogo mchepuko na anajitahidi kupita kila siku anapotoka kazini ili kuacha matumizi na kugawa dozi. Kumbe jamaa akiondoka mchepuko unaleta nao mchepuko wake ndani anakula mzigo hadi asubuhi. Kazi ipo jamaa mchepuko unachepuka,msichana kachukua vitu vyote gheto kaondoka.

Wanaume kazi tunayo.
 
Ulitegemea alale usiku na mito kitandani kwa muda gani? kwani yeye hataki vya asubuhi.
 
Kuna watu hawana akili, una kuwa na wivu kwa mchepuko.!!
 
Kuna mzee mmoja huwa anakaa kwa mchepuko mpaka saa sita au saba usiku. Sasa sijui hii njia inamsaidia kudhibiti mchepuko. Amemfungulia mchepuko bar, hivyo hukaa naye mpaka bar ifungwe halafu wanaenda kugegedana na baadaye anarudi kwa bi mkubwa bila hata robo shahawa.
 
Safi sana, yey analala na mkewe hata akiumwa usiku yupo wakumsaidia, mwezie alale peke yake ili???? nyumba ndogo lazima ziwe na kijenerata babuee.
 
Kunguru kapata kunguru kwa hiyo wote hawafugiki....
 
Hapo hapo fanya vyako ila ukimaliza hayoo njoo na epsod nyingine hapo
 
Back
Top Bottom