Pale ni Kigoma mwisho wa reli
Ndio mkuu ila ndo tayari yuko na mwingine..kum'bwaga hvhv tu bila ya sababu atakuwa kamdhulumuPale pa kubwmbelezwa ni muhimu sana, baadae hata mkiingia kwenye ndoa na mkiwa mnapitia majaribubutakumbuka mambo aliyokufanyia in good times na mapenzi yanarudi
Dory msute kwa jivu huyoIla huyu kaka nae nimsaliti acha yakutokee wewe unamchumba uyo ulifwata nini pia jua kubali kataa ushavunja moyo Wa imani Na wewe kwa mchumba wako kama alikuamini asilimia 100% jua zimepaki 20% aiseeee wewe kaka inamaana ulishindwa nini kumheshimu mwenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchagulie ila Shem umekwepa post yangu
Salthanks yakwako hiihapa ndio napapendaunawasema wenzio uku wewe wakwako unamkanaila kumkana huku pia umemsaliti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh dory waitwa na mkemia mkuu labda kuna nafasi ya kazi huko maabara..ameniambia nikufikishie huu ujumbe
Assaaalaaalee..utani wahapa ndio napapendaunawasema wenzio uku wewe wakwako unamkanaila kumkana huku pia umemsaliti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh dory waitwa na mkemia mkuu labda kuna nafasi ya kazi huko maabara..ameniambia nikufikishie huu ujumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchagulie ila Shem umekwepa post yanguhujaiona au umejisahaulisha
Sent using Jamii Forums mobile app
nakufwata ila mbona unakwepa swali langu kweli misambwanda haiwaachi watu salamanisubilie
Sent using Jamii Forums mobile app