Tamaa is another issue lakini genuine love ❤️ ikifa give your self a break and avoid reboundsHuyu ni mfano wa wale watu wenye two faces..yaani hapo moyo wake bado haujakuwa na maamuzi sahihi..amegubikwa na tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutojiamini kunachangia..ukiamini kuwa umepangiwa bahati yako na Muumba basi huwezi kupoteza time kujidhalilisha kwa asiekutaka..huyo mdada ni mjinga kupita maelezo na hafikirii future yakeInatoka unapokuwa kwenye mapenzi kupata rejection unajiuliza kwanini iwe mimi. Baadae unakuta a na mtu anakupenda unajiuliza tena kwanini nilikuwa ninamlilia yule mbwa?
Self value ndiyo tunayoisahau wengi tunapenda kwa moyo, self value can give you pride and confidence that you deserve someone who will treat you better.Kutojiamini kunachangia..ukiamini kuwa umepangiwa bahati yako na Muumba basi huwezi kupoteza time kujidhalilisha kwa asiekutaka..huyo mdada ni mjinga kupita maelezo na hafikirii future yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah..that lady is so stupidTamaa is another issue lakini genuine love️ ikifa give your self a break and avoid rebounds
IndeedSelf value ndiyo tunayoisahau wengi yuko penda kwa moyo, self value can give you pride and confidence that you deserve someone who will treat you better.
Hii inakuja kwa kushirikisha ubongo na moyo kwenye mapenzi
When a man loves a woman, he will make sure has done everything under his power to make her feel comfortableYeah..that lady is so stupid
How can a brainy do such useless actions..when she'll fell to someone who will sweep her everything and disappear then she will discover how mad she was
Sent using Jamii Forums mobile app
Usaliti utakuongezea nukx tu maishani mwako..mpenzi unae na mshapanga kuoana then kinachokupeleka kumla huyo ni nini kama sio shetani kakuandama..option kaa utafakari mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap ndo hivyo mkuu ila kigeugeu hakimuachi mtu salama..mtu aweza akawa na mahusiano na mwenzie kwa muda mrefu then akam'bwaga kwa kufuata matamanio ya nafsi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
That's very true..penzi la kulazimisha halina mwisho mwemaWhen a man loves a woman, he will make sure has done everything under his power to make her feel comfortable
Sizani kama kuna wenye really loveInatokea unapokuwa kwenye mapenzi kupata rejection unajiuliza kwanini iwe mimi. Baadae unakuta a na mtu anakupenda unajiuliza tena kwanini nilikuwa ninamlilia yule mbwa?
Pale pa kubwmbelezwa ni muhimu sana, baadae hata mkiingia kwenye ndoa na mkiwa mnapitia majaribubutakumbuka mambo aliyokufanyia in good times na mapenzi yanarudi
Mimi mbona ninayo kwa Aspirin
Okay
Huyo alikuwa na bwana, katoswa, kakukumbuka.Wakuu sijaoa lakini nina mchumba ambaye soon tutaoana. Sasa kuna binti mwaka jana alikuwa anasoma chuo nilimpenda kwa dhati kwa nia ya kumuoa lakini akazingua ni mzuri sana na ilibidi nimtongoze kama miezi 2 hivi siyo kawaida yangu nilipoona mambo bado magumu nikamtema na nikapata mwingine ambaye tumepiga hatua hadi kukaribia kuoana sasa.
Mwaka huu yule binti alianza mazoea hapo ameshamaliza chuo anafanya kazi yaani msg asubuhi, mchana, jioni na usiku. Akipiga simu anataka tukeshe tunaongea na anaomba appointment za kuonana na mimi mara kwa mara papuchi ananipa kama vile nimeoa. Nilistaajabu sana yalipotoka haya mapenzi yasiyojulikana.
Sasa jamani sasaivi anataka ndoa kwa nguvu yaani anadai afe kipa afe beki lazima nimuoe anamzingua hadi mchumba wangu. Nimeshamtia makofi mara 3 lakini aachi. Anajitoa vibaya sana kwangu hadi mshahara wake wote analeta. Majuzi amenunua kiwanja kaandika jina langu nimemwambia sitaki hiyo ni mali yako, ananishauri tuingie miradi ya pamoja na biashara namkatalia.
Nimeshamweleza sina mpango wa kumuoa lakini haelewi anadai nimemchezea na rafiki zake wote wameolewa yeye ataolewa na nani. Sasa namuuliza mbona sikukukuta bikra? Anakosa majibu na nilipotambua ananitega mimba nikaacha kumgegeda.
Nishaurini nimfanyeje huyu mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dory hebu sema nimjibu vipi
Dory hebu sema nimjibu vipi
Maana kwa hili wala sioni haja ya mtu kutaka ushauri..anataka kumualika shetani ndani ya nafsi yake
Usaliti siku zote haumletei mtu maisha yenye baraka..sasa huyu kashakatikiwa kiuno huo ni usaliti kwa mpenzi wake then huyo cheche anamletea mshahara anaopokea na kiwanja atakiandika kwa jina lake..mwanaume hashobokei mambo ya kipuuzi yatakayosababisha kumsaliti mpenzi wake#Rubbish
Sent using Jamii Forums mobile app