Mchepuko kanuna kisa kumposti mke

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
422
Reaction score
2,008
Wanawake bhana, jamaa yangu kaoa ana mkewe na watoto akajiingiza kwa mchepuko single mama, na huyu single mama alikua anajua kabisa kuwa jamaa kaoa akakubali kuingia kwenye mahusiano na mshkaji

Tatizo linakuja baada ya kuzoeana saana mchepuko anamwonea wivu mke wa jamaa, mshkaji anapenda kumpost mkewe na wanae kwenye mitandao mchepuko ukiona ni vurugu shida mpk wanafikia hatua ya kuachana, jamaa akitak kimwacha mchepuko anatishia kunywa sumu..

Mimi nimemwambia piga chini anasema atajiua nikamwambia mwache ajiue anakutishia jamaa anasita sita cjui kafinyiwa kwa ndani
 
Watu kama hawa unawaacha taratibu huwaambii kwamba leo tuachane
 

Kununiwa tuu analalamika
Bado atalogwa awe taahira kabisa aache kulalamika
 
si useme huyo ni wewe
 
Nilimweka kwa ahat mbaya akaona ila alimsifia kwamba najuwa kuchaguwa
 
Acha kushabikia ujinga.Jitulize kama kasuku.
 
Muwe mnatulia na wake zenu!sio mnawamega watoto wa watu halafu ghafla mnajifanya mnawapenda wake zenu,hata huyo mcheps ana moyo
 
Kupitia mchepuko mwanaume anaweza kumpoteza mke kwani michepuko Mara nyingi huanza kupambana na mke halali kwa njia yoyote Ile kumuondoa wakiwa na tegemeo la wao kuolewa na michepuko Yao pindi wake zao watowekapo.Majuto Ni mjukuu utakuja kujilaumu ndio hivyo Tena hutakuwa na jinsi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…