Mchepuko almanusra udakwe bafuni


Wewe utakuwa umekubuhu kwa hayo mambo, funguka zaidi
 

Wengine wakiolewa kuliwa na waume zao wanakuwa wavivu sana sijui nyie wanawake mna nini! Hata mm nishakula mke wa mtu, niliwahi kumuuliza umenipendea nini yeye anadai hata hajui, nikamuuliza mumeo huwa mnafanya mara ngapi kwa week anasema mara nyingine mara moja kwa mwezi, nikamuuliza so namimi nimepata leo so hadi mwezi ujao? akasema wewe hata kama na kesho utataka nitakupa hata kila siku ntakupa, nikajiuliza mawali kibao nikabaki mdomo bapa yaani huyu mumewe anampa mara moja kwa mwezi lakini mm anataka kunipa hata kila siku! Sio siri nilijifikiria sana, na nilimtosa kiaina japo bado ananitafuta ila siwezi rudia tena!
 
naombeni kuuliza wanawake una mume ndani unagegedwa kila siku hivi mechi zingine za mchangani kama hizi ni za nini ?
ukame ,umalaya au ni nini?

Mwanamke hata akiolewa Kama ni wa kugongwa nje atagongwa tu, unajua, mwanamke akifuatiliwa kwa maana ya kutongozwa mara kwa mara baadae akili yake inamruka hivi, anaanza kumpenda taratibu yule aliyekuwa anamfuatilia baadae anatoa mzigo. Ukipata mke aliyetulia, aliyefunzwa akafunzika, hutakufa haraka
 
shida sio kutoa mzigo shida ni hii mpaka anafata mtu chooni ni kwamaba ana hamu sana kwa nini?
 
we unakuta ulionyesha ujuzi mumewe anachomeka na kumwaga na kujitupa pemebni kama katupa uchafu kwenye dust bean mkono usishike uchafu.. .... nimeelezwa mengi na wake za watu.. kiukweli wanawake wanacheat mnoo lakini sababu kubwa wabnaume husababisha... mtasema mama zetu mbona hawakucheat mama zetu wengi walijua dushe moja.. sisi wa sasa kila size ishapita kila mdundiko tushacheza halafu unakuja na kamdundiko chako cha ajabu baada ya ndoa lazima akumbukwe juma
 
ashk kwa mwanamke inakuwepo kama hajaingiliwa muda mrefu sasa hyu mwenye mume anawashwa mpaka anaenda kupigwa cha chap chooni kama ana ukame ni vipi? au mwanaume wake hasimamishi?
miss kwenye ndoa huko wanapanda wanashuka miujuzi yao wanaonyesha kwa michepuko hukooooo
 

Talking from experience eeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…