Mcheki kipanya!!!

Hhaha hah aha !!!! Kipanya anavisa sana ila hapo kuna la kujifunza ndani yake.
 
Faru yupi...mana Faru John ameshatoweka....
 
Ngiri ndo hana utani. Hata umeme tutakuwa hatuibi tena
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkata umeme
 
Nahofia Kipanya anaweza akaingia kwny 18 za wategua Mitego akaumia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…