Comedian maarufu kutoka jiran , Eric omondi, amejikuta akiingia kwenye mikono ya Sheria baada ya kipindi chake maarufu cha “WIFE MATERIAL “ kudaiwa kukiuka maadili y kijamii ndani ya nchi hiyo . Either kipindi hicho kimekua kikirusha maudhui ya kiutu uzima na lugha Za matusi kwa baadhi ya washikiri especially Gigy money kutoka Tanzania
Gigy money akiwa mmoja ya contestants wa kipindi hicho ameonekana pia mara kwa mara akifanya fujo na kugombana na washiriki wenzie kutoka Kenya na uganda hali iliyopelekea gigy na wenzake waliofanya fujo kulala ndan usiku wa kuamkia Jana View attachment 1722908
Ila wakati naangalia kipindi ile first episode venye gigy anajifanya kapinda mara anaongea broken English with Nigerian accent yani had nikawa naona aibu , halafu wakenya na waganda wakawa wanamwangalia tu kwa dharau na kumuona hajielewi. Ila ki ukweli out of all contestants wa wife material second season kutoka Tanzania Gigy is a SHAME kwa kweli, anajifanya mcharuko halafu kichwan hakuna kitu .
Au Alikua anataka kujifananisha na shakila? Shakilla alikua ni mwendawazimu but ako smart kichwan , very intelligent ni madharau tu ako nayo, sasa gigy ako na madharau halafu kichwan zero , ameenda kutuabisha tu huko mxieew
Wamekamatwa kweli na washiriki wote kutoka kenya na uganda wanatakiwa kurudi makwao
Gigy ni nyota ya laana ni mkosi, ukisalimiana na gigy kimbia haraka ukaoge maji ya bahari[emoji16], mm mwenyewe nimeandika hapa neno gigy inabidi ninawe kwa maji tiririka na sabuni,[emoji98] hat wewe uliyesoma sukutua mdomo wako vzr, neno GIGY ni laana iliyokubuka[emoji16][emoji16]
Shujaa? Ingekuwa amri yangu hata aliyempa bendera ningemuweka ndani, hii bendera sio ya kupeperushwa kwenye ujinga kama huuWaturudishie mrembo wetu. Tukampokee JNIA kama shujaa.
Hata wakipigana miti na kupost IG waachwe kisa wana-chase mulla ($$$)?Waache ushamba mtu anajitafutia pesa
Eee waachweeHata wakipigana miti na kupost IG waachwe kisa wana-chase mulla ($$$)?
Waache ushamba mtu anajitafutia pesa
Eee waachwee
Waache ushamba mtu anajitafutia pesa
Mimi mwenyewe Wife material 1 nilifuatilia. Alivyo kuja kusema ilikuwa scripted, nikaona huyu msen.ge anatupotezea muda.usipende kuwaamini wasanii inawezekana hta vile vituko vya gigy vilipangwa coz kila alichofanya kinarikodiwa inamaana kuna mtu alikuwa na kazi ya kuchukua yale matukio na gigy ndio scene zake hizo za ukolofi
Hehe bina mambo yako yapo juu sikuwezii we ndio umenitengaaBinamu kwan tulibiiana bwana jamen mbona umenisusa hvyo[emoji16]
Hehehe walizidi etiiBinamu nae unashabikia ule upuuzi, mi nilishangaa ile post Eric akiwa na mdada wa Tz hadi nipples zinaonekana kabisa halafu wanakiss what the **** was that, show ya kihuni bora tu wai cancel
hawa watu sio wa kuwachukulia siliaz sana, kama unakumbuka juzi tuh hpa Mange aliingilia ishu ya Mobeto na Kajala kilichotokea hatujui ila aliachana nao akaendelea na shughuli zakeMimi mwenyewe Wife material 1 nilifuatilia. Alivyo kuja kusema ilikuwa scripted, nikaona huyu msen.ge anatupotezea muda.
Kwahiyo wanaofikiri Gig anajifanyia tu, wafikiri tena.
Wewe fikiri tu, why Gig in the first place ???
Rudisheni home haraka Sana hyo pimbiComedian maarufu kutoka jiran , Eric omondi, amejikuta akiingia kwenye mikono ya Sheria baada ya kipindi chake maarufu cha “WIFE MATERIAL “ kudaiwa kukiuka maadili y kijamii ndani ya nchi hiyo . Either kipindi hicho kimekua kikirusha maudhui ya kiutu uzima na lugha Za matusi kwa baadhi ya washikiri especially Gigy money kutoka Tanzania