Mcheke utoke kimaisha!!

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,966
35,152
Nasikia eti ukimcheka mtu yeyote Mungu anakuadhibu unafanana naye hasa kwa kipato alicho nacho:
Mie ngoja niwacheke hawa wafuatao:

hahahaahahah Mohamed Dewji
tehe tehe tehe Trump
hahahahahahahaha Billgate
hahahahah Bhakresa

Na wewe wacheke wengine ili uadhibiwe ufanane nao kwa kipato
 
Back
Top Bottom