Kopi and pesti.
Toa yako mpya toka mbinguni
Mbinguni ndiko kutokako akili na ufahamu wetu
Chipskaki na mishkavu
Panta fasheni
Habar Jf members
Nilikuwa Jit-Chat restaurant juzi jioni bhana akatokea dada mmoja mtanashat sana,akachagua meza akaket.
Alionekana mwingi wa mawazo kwani hata muhudumu alipo muendea kwaajili ya kumpatia huduma,hakumuona wala kumsikia£¿
Muhudumu ikabidi amkuse kidogo begani na kumuuliza,samahani dada nikuhudumie nini?
Akastuka kidogo......oohhh..!!
Sory unajua nlikuwa mbali kidogo....!Naomba unipatie chips kaki na mishkavu pamoja na pantafasheni ya baridi.......lolz!!!!Chezea mawazo wewe!?