Mchango wako wa mawazo ni muhimu hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchango wako wa mawazo ni muhimu hapa.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by The Son, Oct 10, 2012.

 1. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nikiweka line ya Zantel kwenye simu 'updated time' inatofautiana na ile ya mitandao mingine kwa dakika 6.Hii inaleta tabu kwa wale ambao kwa kiasi kikubwa tunategemea time ya kwenye simu.Tatizo ni nini? Haliwezi kupatiwa ufumbuzi?
   
Loading...