Hayo unayosema nadhani ilikuwa ndani ya job description yake
Wabongo tumezoea fadhila tu. Ndio maana tunatakiwa tuanze na mfumo wa kulipa mshahara kwa masaa. Watu watafanya kazi zao. Huyu mh alikuwa mwajiriwa wa vodacom kama head of legal au co. Secretary. Unajua hakuna jitihada zozote alizofanya ili.wateja tusinyonywe huo ubunifu kaupata nishati na madini tuu. TAFAKARI acha campaign hazitambeba. JPM haendi na ukabila wala undugu