Mpaka sasa hivi wameshindwa kuwafundisha wanafunzi wa nchi hii namna ya kutengeneza sindano tu.nilichogundua ni kwamba, mafundisho Yao ktk vyuo vyetu hayana tofauti na Waalimu wa Biblia au wa Quran kwa waumini wa dini zao.
Wameshindwa kabisa kugundua kuwa elimu wanayofundisha inatakiwa imsaidie mwanafunzi Akiwa hapa duniani, mambo ya Akhera walitakiwa wawaachie Mashehe Mapadri na Maaskofu. Mwanafunzi anahitimu chuo kikuu halafu unamkuta Benki ati anahesabu pesa, kazi ambayo Bibi yangu Kule kijijini anaweza kuifanya
Ni aibu, na ndiyo maana sasa hivi kila mtu ameamua kuwa mwanasiasa kwa sababu 95%ya wahitimu wote hawana taaluma yoyote! ni kanyaboya Igeni mfano wa nchi nyingine, acheni kufundisha kwa mazoea,
Kwa mfano, vyuo vikuu vya China, kuna vyuo vikuu vya kila fani mtu anayotaka kufanya baada ya kuhitimu. Ila tofauti ya wao na sisi ni wao wanafundisha kwa vitendo zaidi ya 85% ya masomo Yao, Mwaka Jana nilibahatika kuhudhuria ktk mahafali ya Chuo kimoja kilichopo ktk Jimbo la Guang Dong. Nilichokiona nilipata wivu sana, kwamba why not happen to my lovely country. Ilikuwa hivi.
Hiki ni chuo kikuu kikubwa sana, na kinafundisha mambo mawili tu, Ushonaji na design .wahitimu walikuwa ni elfu 18. Kwa mujibu wa maelezo ya hotuba iliyosomwa na principle wa hiki chuo, ni kwamba, Kati ya wahitimu elfu 18, elfu 11 tayari walikuwa wameshachukuliwa kwenda kufanya kazi ktk nchi mbali mbali za dunia ya kwanza, na elfu 6 walikuwa tayari wamepata kazi ndani ya China, wengine waliobaki wao walikuwa tayari kufungua kampuni zao kwa msaada wa Serikali Yao.
Sasa imagine, hawa ni wahitimu wa mwaka 2016 tu, na hiki ni chuo kimoja tu. Je wa vyuo vingine wanahitimu wangapi kwa mwaka?. Hapa kwetu ni tofauti kabisa. Utakuta mtu amehitimu Chuo kikuu, amesoma masomo zaidi ya 7 na akifika mtaani hata somo moja halifanyi kazi, matokeo yake kila mtu anataka kuwa mwanasiasa,kana kwamba hii ndiyo kazi isiyohitaji taaluma,
Hakika Kama hatutabadilika basi hata Atawale Malaika ktk Nchi hii bado watu watamlaumu tu. Chonde chonde, Maprofesa wetu badilikeni, la sivyo mtamuua Raisi kabla ya Muda wake kwa lawama zisizo zake.