Jamani wana JF habari zenu.Nitoe mfano kidogo.Nilimpeleka mke wangu kujifungua,miezi saba iliyopita.madaktari wakagundua kuwa anahitaji Operation.Lakini hawakuwa na nyuzi za kumshonea baada ya upasuaji.Wakanipa sababu mbali mbali mpaka akafariki. hivyo alifariki yeye na mwanae.Madaktari wanapigania mazingira mazuri ya kazi ikiwa ni pamoja na vifaa vyote vya kazi n.k. sasa sidhani kama wana kosea.